daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Salam wakuu,simu yangu galaxy note 4 haioneshi majina upande wa message hata kama mtu aliyenitumia message nimemsave kwa majina,message zote zinakuja bila contact name
Naomba msaada wa solution
Usiku mwema
Naomba msaada wa solution
Usiku mwema