Msaada wa tatizo hili la temp video

Msaada wa tatizo hili la temp video

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Habari. Nilirekodi video kwa simu ya Samsung android. Video ina ukubwa wa 1.6 GB lakini badae ikaandika temp video na haichezi kwa simu hadi ntumie vlc kwenye PC.
Sasa swali langu ni kwanini inakuja hiyo temp video??

Nimeiconvert kwenda mp4 inaplay kidogo then inakata picha inasikika sauti tu
 
Kwanza copy hiyo Video yako to PC, Kwa kutumia hiyohiyo VLC MEDIA PLAYER, Bofya Menu Media =Convert /save, itakupa options 4,chagua file utaona button "add" chagua video yako kisha open, Kwa chini utaona button "convert /save" utapata menu angalia button "video - H. 264 + Mp3 (Mp4 ) click scroll hiyo option HADI chini Click video for YouTube HD, Click button" Browse"File name hapo andika kisha save, Sasa click start button. Itaanza kuconvert Muda kama lisaa limoja itategemea speed ya Computer yako. Baada ya conversion Video yako itakuwa na ukubwa wa Mb kati ya 100 - 200. Quality itabaki ileile sasa ipakie kwenye simu yako. Kazi kwako
 
shukran mkuu. ntaleta mrejesho
 
mkuu sh

mkuu shukrani imekubali, ila imeleta tatizo kwenye sauti inasema unable to play audiootrack. unsupported audio codec.
 
toka.mwanzo ni tatizo la codecs, unatumia player gani? download mx player.
 
nilifuata maelekezo nlopewa

hapo juu, ikakubali ila tatizo likawa ni audio, nmedownload mx player nayo inasema audio haisapoti. je nini ilipelekea video mpaka ikawa TEMP VIDEO?
 
mkuu unaporecord kitu au kudownload kinaekwa kama temporary kwanza then ukimaliza kinaungwa ndio unapata file kamili,

pengine wakati una record haikumaliza, au program ili crash ndio maana umepata kitu kama hicho temp file.

hilo file huwezi kuli upload sehemu? sababu mtu akiliona angejua limetumia codecs zipi.

alternative play na vlc kisha nenda tools then codec information
 
Right click hiyo Video Kisha click Properties utaona Option 4 click Details nenda Audio Copy mahali hiyo Bit rate mfano 128kbps, sasa fuata hatua zilezile hadi "Video - H.264 + Mp3 (MP4 )mbele Yake kuna button yenye spana na bisibisi click utapata option 4,nenda audio codec kwa chini utaona kiboksi cha bit rate kina 128kbps, sasa angalia kama za kule mwanzo zinafanana badili ziwe 144/132kbps kisha save click start button. Be patient utafanikiwa
 
Back
Top Bottom