Tecno Hios update.

Tecno Hios update.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,200
Habarini.
Nimeletewa notification ya kuupdate operating system yangu aina ya Tecno lakini kila niiruhusu inaniletea ujumbe flani kama mnavoona kwenye screenshots. je nifanyaje ili niweze kui update hii system.

c6af22be99875508befcbf032fc341c8.jpg

Nikiselect OK inaleta ujumbe huu;
9562623fed4f09240a28c71b409f9105.jpg
 
Nahisi internal memory haina nafasi ya kutosha...

Philips X2560
 
Hamisha audio, miziki, picha na video zako zote weka kwenye memory card, sijahesabu hizo bytes lakini nahisi zinasum up mpaka kwenye gb 8.
Hivyo unahitaji free memory ya kuanzia gb 8.

Umeroot simu?
 
Hamisha audio, miziki, picha na video zako zote weka kwenye memory card, sijahesabu hizo bytes lakini nahisi zinasum up mpaka kwenye gb 8.
Hivyo unahitaji free memory ya kuanzia gb 8.

Umeroot simu?
Hapana haijatoka version ya rooting kwa cm hii so bado sijairoot
Ngoja nifate ushaur wako nihamishe vitu ingawa nina access ya 5Gb bado!..
 
Back
Top Bottom