Mohamedmussa Ng'onye
Member
- Jun 3, 2012
- 32
- 7
Kwa yeyote anayekijua chuo chochote au taasisi binafsi inayotoa mafunzo ya film making na video production kwa ujumla anijuze..
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Kila muigizaji wa Bongo Movie ana vyooote hivyo, ndio maana wanatoa hadi movie 6 ndani ya siku 3KWA YEYOTE ANAYEKIJUA CHUO CHOCHOTE AU TAASISI BINAFSI INAYOTOA MAFUNZO YA FILM MAKING NA VIDEO PRODUCTION KWA UJUMLA ANIJUZE..
Natanguliza shukrani