Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natumia Nokia ya Torch sasa nataka niblock incoming calls zote, Nifanyeje naombeni Nielekezeni!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
ni app gani free ya kuedit picha ya ios ambayo naweza kubadilisha rangi za nguo mfano nyekundu kua blue na vilevile background ya picha mfano background yenye majani ya kijani yawe yanjano?
1 Reactions
2 Replies
971 Views
poleni na majukumu ya kuijenga Tanzania mpya, ndugu zanguni hali ya mambo duniani inaenda kasi sana kiasi usipotumia mianya hupati upenyo.... sasa, kuna hii kitu inaitwa wifi..ni nini? na mara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je wadau kuna code yoyote ya kuingiza ktk ving'amuz vya star times kupata channel bure? Au ndo tuende kwenye radio tu usawa huu noma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti ni app gani ninaweza kudownload video HD ktk smart phone Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu nahitaji hiyo betri tajwa hapo juu iwe Original kwa bei ya Tsh.15,000. Pale Kariakoo Mtaa wa Aggrey a.k.a Mtaa wa masimu nimekosa! Kwa mwenye nayo Tuwasiliane kwa namba hii 0717577755 or...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Wakuu nisaidieni wajuzi wa electric equipment kipi bora kwa kutaype kati ya pc au tablet kazi kama barua assignment nk na kama pc ni aina gani? Deli au hp ? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka namna ya ku fungua pass code ya screen ya iPhone. Nataka nifanye hivyo bila kupoteza data. Zamani ilikuwa rahisi kufungua kwani aliweka date of birth naona imebadilishwa sasa screen lock...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Facebook wataanza kuonyesha videos za show mbalimbali za watumiaji wake kama Youtube na vituo vya runinga. Wataweka tab maalum kwa ajili ya videos. Watumiaji wataweza kutoa maoni chini ya video na...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Kampuni ya Vifaa vya Umeme ya Toshiba imetangaza kupata hasara ya Dola Bilioni 8.8 katika kipindi kilichoishia mwezi Machi mwaka huu. - Yatakiwa kuuza kifaa chake cha kutunzia kumbukumbu cha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
536 Views
kwa wataalamu ivi Ukiachana na kidole na pen ya kutachia,kuna kingine kinachoweza kufanya kazi hiyo msaada please
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna jia mbali mbalibsana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao. Kufuta akaunti yako ya facebook kunaweza chukua siku 90...
2 Reactions
9 Replies
25K Views
Ni app gani inayozuia namba ngeni ukiondoa truecaller.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Poleni na kazi wadau,simu yangu haitowi mlio wakati nikipigiwa,hata video zote pamoja na miziki pia hazitowi sauti.Hii ilitokea majuzi asubuhi nasikiliza kipindi cha BBC,ndo sauti ikakata...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema Nina simu Tecno C9 lakini hivi karibuni imekuwa ikinisumbua hasa kwenye mfumo wa Bluetooth na hotspot nikiwasha baada ya sekunde kadhaa inazima hivyo hivyo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mods futa hii post, nimeshindwa.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Naombeni msaada wakuu jinsi gani nitaspeed up ota upgrade, Najaribu kufanya system update tokea Jana lakini bado nimekwama kwenye 28 percent Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heri ya sikukuu ya nane nane wakuu. Naomba leo tuzungumzie juu ya changamoto ya upatikanaji wa taarifa kwa watu wanaotaka kupata nyumba. Kupitia mijadala yetu tunaweza kupendekeza na njia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom