Msaada jinsi ya kutoa pattern lock kweny Vodafone...

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,277
5,929
Wakuu kuna mtu nilikua namdai fedha kias fulan kashndwa kunilipa.. Niliamua kumnyang'anya simu aina ya vodafone kwamb atakuja kuikomboa mby zaidi nimekaa nayo kma miez miwil hyo jamaa haji... Tatzo ina pattern nataka niitoe bila kwenda kwny pc please msaada tafadhali... Wasaalam
 
zima simu .then bonyeza kitufe cha kuzima simu na cha kupunguza sauti hama kuongeza..endelea kushikilia mpaka ionyeshe menu ya maneno..kwenye hayo maneno utaona reset phone ukibonyeza halo utafuta kila kitu simu itaanza upya..tatizo litakuja kama itakuwa imeandikwa kichina lakini kama ni kingereza itakuwa raisi ...usisahau mrejesho
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom