Nina Tv (television) aina ya Startimes, leo nimeiwasha naona inatoa tu sauti lakini picha zinakuwa in deam light hazionekani kabisa. Shida inaweza kuwa nini?
Msaada please.
Confirm the website or a computer you want to hack.
Find or trace their IP address.
Make sure that IP address is online
Scan for open ports
Check for venerable ports
access through the port...
Port Scanning is one of the most
popular techniques used by
hackers to discover services that
can be compromised.
A potential target computer runs
many services that listen at well-...
Instagram ambayo ipo chini ya Facebook imekuja na wazo jipya la kuficha idadi ya Likes kwenye post yao.
Kwa hiyo mfano Jamiiforums wakipost picha Instagram, Robort aka Like itaandika hivi...
Salaam kwenu. Samahani naomba niende moja kwa moja kwenye shida iliyonileta hapa.
Nina ndugu yangu huwa akinipigia kwenye simu yangu ya Nokia kitochi kwanza haiiti kwa sauti hata kama ipo katika...
An Explainer for When the Internet Goes Down: What, Who, and Why?
Isabel Linzer, Research Associate
Map highlighting connectivity restrictions and social media blocks in Africa since 2017
What’s...
Wataalam naomba msaada wenu,
Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi...
Habari,
Msaada tafadhali kwa wale wataalamu wa simu. Simu yangu nilibadili line ya nchi nyingine niliporudisha ya Tanzania, Tigo imekuwa haifuction vitu kadhaa kufungua internet, Instagram...
Nilinunua simu feki ya iPhone 6 mnadani kwa laki 4. Sasa naomba mnielekeze ni simu ipi nzuri ya iPhone (ngapi) na Samsung (ngapi).ili niweze kununua mpya dukani ikiwemo RAM, display nk.
Habari yenu wadau, natumai weekend imeenda vyema. Haya leo Samsung wamezindua their latest flagship codenamed Samsung Galaxy s6.
Kumetokea vita ya maneno kati ya android/Samsung fan vs iPhone...
Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo...
Kuna sehemu huwa tunatumia LAN kwa ajili ya internet kwenye PC, sasa tulikuwa tunatumia software kama connectfy, kusupply wireless kwenye simu from LAN. Ila sasa hivi karibia software zote...
Nina machine tatu nahitaji ziprint kwa wireless. Moja ni Canon advance Ir C3525, pili ni Canon Ir 2525 na pia print aina ya HP LaserJet m750.
Hii ya kwanza nikiingia kwenye network,bmenu zote za...
Tafadhali msaada nimenunua remote mpya ya singsung niitumie kwenye tv ya brand iyo ila haija respond vipi kuna procedure yoyote ku conect kama zile za universal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.