Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama kuna kitu kinawaangusha Apple Inc katika bidhaa zao basi sio kitu kingine ni Battery za devices zao tofauti kutokukaa na chaji kwa muda mrefu, yaani ukimkuta mtumiaji wa iphone basi pembeni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tuko kwenye zama za big data na atakayekua na umiliki na access ya data basi atakua na faida kubwa. Swali LA kujiuliza kwanin huawei anapigwa vita nchi za magharibi, ni matokeo ya tabia ya...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ndugu Wana JF, Nahitaji kufungua duka online (eShop) kama ilivyo Jumia, Amazon, eBay, Kikuu nk. Je naweza nikapata vitu gani vya kuzingatia kabla sijaanza rasmi? N.B: Sina store ya vitu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam, Halotel walivyoanzisha Royal Bundle Offer ilikuwa Simple, Lipia kuanzia Elfu 10 Kwa mwezi utapata 2GB + 1.5GB high speed, kisha utaendelea na unlimited internet kwa speed iliopunguzwa...
3 Reactions
16 Replies
10K Views
Msaada Jamani ! Hali Tete Siwezi Kushare Wala Kutembelea Site Kutokea Facebook. Sijui Ni Figisu Za Watu Au Vipi. Nawezaje Ku-unblock Site Iwe Kawaida Kama Mwanzo. Cc LIKE Niku ADD algorithm...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ilianza kama utani utani Mara matangazo kuzima Mara Ujumbe wa temporary ad serving limit placed on your AdSense account hatimae yametimia kipigo hevi yani hapa napumulia mipira kwa hichi kipigo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Unapotumia multi-item carousel/slider bila kufanya tafiti ili kujua limitation zake pale unapotaka tumia database ku retrieve data na kuzi display kwenye interface basi unaeza tumia nguvu nyingi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu wote. Naomba kwa anaeelewa Blotting Paper anisaidie kuelewa na sehemu zinapopatikana au kuuzwa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Wakuu kwa mara ya kwanza nakutana na ban ya whastapp nilikuwa sijui. Nimelala usiku whatsapp ikiwa fresh kabisa yaani nimechat mpaka labda saa 5 hv usiku, nikalala ile kuamka asubuhi kufungua...
2 Reactions
794 Replies
106K Views
Naomba kufahamu softwares za PC ambazo naweza kusave mambo mbalimbali na ikanikumbusha. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
2 Replies
861 Views
Shop.stekdigital.com/shop Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi? Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia kutengeneza game au robot kwenye PIC na kuweka kwenye simu anisaidie.. Nimepewa assignment chuo sasa hata sijui pa kuanzia maana nimepambana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Basic Certificate. Ningeomba msaada kwa anayeweza kunifahamisha aina ya laptop na space inayotakiwa ili nifanikishe lengo langu. Natanguliza shukrani kwenu.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimeona tangazo kuwa kwa sasa imetoka simu mpya ya Tecno Camon 12 ambayo unaweza peleka dukani simu uliyonayo kisha ukaongeza hela kidogo kupata toleo jipya. Kwa hili niwapongeze Tecno japo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wadau habari zenu Naomba kujua bei ya Tecno Spark 4 Pia na sifa zake kwa waliozitumia maana nimeulizia huku Tanga nikaambiwa hazijafika
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nasikitika sana ninapoona fundi anapopewa ushauri lakini unajifanya unajua mwisho unaharibu. Niko zangu safarini nikaenda kuchaji simu, katika office moja wapo kuna fundi simu. Mteja kaleta simu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na kuongezeka kwa makazi ya watu huku ukubwa wa transformer za Tanesco zikibaki zilezile,kumepelekea maeneo mengi ambayo miji yake inakuwa kukabiliwa na tatizo la umeme mdogo hasa...
5 Reactions
28 Replies
7K Views
Filamu inayotarajiwa ya shimo jeusi itaanza kutazamwa hivi karibuni. Kundi moja lililopiga picha za kwanza za shimo jeusi lililopo angani limetangaza mipango...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wataalam wa anga wamegundua sayari kubwa ambayo wanasema, haipaswi kuwepo, kulingana na nadharia za sasa. Ulimwengu huo unaofanana na sayari ya Jupita ni mkubwa sana ikilinganishwa na nyota yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, Kuna baadhi ya applications nilizipin kwenye taskbar, sasa leo ghafla nikaona hazionyeshi zile picha zake (icons) na nikifungua hazifunguki. Naomba mwenye kujua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom