Simu ya bei rahisi kuliko zote inayosoma 4G kwa line ya Vodacom

Habari wakuu nahitaji simu ya bei rahisi kabisa, ila iwe na 4G kwa Vodacom. Naelekea dukani msaada please
Bei rahisi ndo nini? Hujataja budget yako ni TZS ngapi! Kwaio swali lako hili lina utata ka vp unaweza enda vodashop kuwaulizia maana wanazo sim za bei rahisi na ni ziko customized na huduma yao ya 4G..
 
FB_IMG_15725240285545354.jpg
 
wabongo MNA shida saaana, MTU kasema smart fone inayoenda na mfumo wa 4G na anataka kuitumia kwa mtandao wa Vodacom. ila bado unasikia MTU anauliza eti lazima iwe ya vidacom
mwebelelemu namwe mutuswaza, ndo maaana unakuta kwa Uzi wa Uganda umejaa wabongi wanapost issue za Uganda na wako sijui wapi ama Bukoba au Sumbawanga pasipokuwa na uahakiki(verifiable information) pasipokuwa alixhosoma mtandaoni. let us remember not all what appear on social media is true
 
Hapa amna cha 4G wala nn ni Zuga Zuga tuKwa anae zifahamu izi simu anisaidie ushuhuda zipoje maana nimeenda Vodashop wakasema zimeisha nataka nijipatie moja
Umesema hamna cha 4G halafu unataka maelezo mengine tena
 
Back
Top Bottom