vipi wazee, kwema?
Kuna hizi simu za Tigo nimenunua hivi karibuni sasa nahitaji kuitoa Lock maana inatumia tu line ya Tigo, ningeweza kupeleka ikaflashiwe kwa mafundi ila nataka nijifunze...
Nasema hivi kwa sababu kila ninapotembelea Blogu za kitanzania nyingi huwa unakuta trojans; kuna wakati Mwananchi ilikuwa na trojan kwa takribani miezi mwili kabla hawajachukua hatua; sasa hivi...
Naweza kusema kumekuwa na utitiri wa akaunti za video za YouTube kwa sasa hapa kwetu. Wengine hufanya akaunti nyingine zionekane wote ni wale wale. Kuna wale wazee wa kuweka Heading mbovu ili...
Habari zenu watafiti, wasomi na wachambuzi wa mambo. leo ni siku ya tatu napokea sms mfurulizo hadi zinakera. niliwapigia Airtel wakajibu sio sms zao labda niangalie setting ktk simu. kuna chanzo...
Poleni kwa pilika wakuu.
Nimenunua tlc 32 smart tv... Lengo kubwa ilikuwa niweze kuitumia kwa ajili ya kuangalia mpira kwa kutumia app ya cm... Mwenye ujuzi wa namna ya ku mirror cast naomba...
Habari za jumapili wandugu.
Kama heading inavyojieleza nimekuwa nikipokea meseji nyingi toka Tigo. Kwa siku naweza pokea meseji zaidi ya mia mbili toka namba 100. Nimejaribu kuwasiliana nao...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Na'am, In shaa Allaah Leo Tutakhabarishana JINSI YA KURUDI KWENYE GROUP LA WhatsApp ULILOTOLEWA BILA KUTUMIA APPLICATION.
Ni Jambo Flani, Kqma...
Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya...
Wale walionirequest hii new patched IDM unaweza idownload hapa.
link MEGA au HAPA
Hii ni program ambayo kila mtu anaifahamu sema tu inatofautiana versions na patch zake.
Ila kwa wasiofahamu hii...
Hiyo inatokana na kushuka kwa mauzo ya simu hizo. Idadi ya mauzo imekuwa ikishuka miaka hadi miaka na kupelekea kupotea kwenye soko la dunia.
Wameamua ni wakati sasa wa kuwekeza resource upande...
Nimefuta app ya WhatsApp kwenye simu yangu W3 Lite, nimeistall upya nifanye registration imegoma. Hatua ya pili ya kuweka namba ili ifanye registration inagoma. Naombeni msaada nifanye nini...
Habari zenu wana JF. Naomba msaada kwa yule anayejua jinsi ya kuweka Audios & Videos kwenye blogger (blogspot) ili watu waweze ku-download!
Msaada please.
Wakuu nashindwa kutuma email kwa Customer Care wa Samsung Account.
Iko hivi, kuna fomu nimejaza ila kwenye sehemu ya kuweka return email nikiweka email yangu na kusubmit, inakuwa rejected na...
Hellow members!
Nipo somewhere hapa kuna mrembo kanizoea sana. So this time kaja na kasimu chake kitecno Y3 (zile version na kitambo kidogo), nataka nirestall hiyo simu yake.
So wadau naomba...
Naomba msaada wenu, nahitaji simu
Naomba ushauri kwa uzoefu wenu, kati ya Techno camon 12 Vs Inifinix ipi bora zaidi?
Hapa nazungumzia katika ukaaji na chaji, uharaka katika kufanya vitu na kila...
Wadau, wajuvi na wenye uelewa na uzoefu wa idara hii ya vinga'muzi naombeni ushauri wenu
Nahitaji king'amuzi bora kabisa ambacho sihitaji kulipia chochote kwa mwezi na nitaweza kupata chaneli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.