Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

kkenzki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
1,504
Reaction score
2,519
Habari yenu wadau, natumai weekend imeenda vyema. Haya leo Samsung wamezindua their latest flagship codenamed Samsung Galaxy s6.

Kumetokea vita ya maneno kati ya android/Samsung fan vs iPhone fan boys kuhusu Samsung kuonekana kukokopi design ya iPhone sasa nikaona nilete mada kwenye jukwaa
attachment.php

Attachments

  • 1425240038187.jpg
    1425240038187.jpg
    36.1 KB · Views: 3,675
  • 1425240073201.jpg
    1425240073201.jpg
    33.7 KB · Views: 1,457
  • 1425240147207.jpg
    1425240147207.jpg
    47.5 KB · Views: 1,471
Itawaghalimu sana kwenye non removable battery na memory card slot....

Baaadhi hawaipendi iphone kwasababu kama hizo, still they have long way to go with their S6 apart from Iphone 6 copycat, the new design which they had been reinvent will going to whack even over their own Galaxy S5..

Appart from external appearance copying, also i can happen to say that this divice is iphone S6..

Let us see....
 
Duuh iphone ni habari nyingine .. mpaka samsung wameamua ku copy isee .. jamaa wamejiaibisha na iphone 6 clone ...
 
Itawaghalimu sana kwenye non removable battery na memory card slot....

Baaadhi hawaipendi iphone kwasababu kama hizo, still they have long way to go with their S6 apart from Iphone 6 copycat, the new design which they had been reinvent will going to whack even over their own Galaxy S5..

Appart from external appearance copying, also i can happen to say that this divice is iphone S6..

Let us see....

Maybe kuhusu battery wamezingua lakini sd card ni vizuri ambayo hawajaieka sababu always watu wanataka sd card za bei rahisi na kusababisha simu kuwa slow.

s6 storage ndogo kabisa ni gb32 ambazo zinatosha kabisa matumizi ya kawaida na kama una matumizi makubwa kuna version ya gb 128. bado unalalamika sd card?

Ukumbuke s6 memory zake ni 2.5 faster compare na simu nyengine duniani mtu akieka menory card ni kama kufunga mkokoteni nyuma ya ferrari.

Kuhusu design leo hii iphone 6 imekua design ya apple? si juzi juzi tu tulikuwa tunamponda apple kwa kucopy lumia na HTC?
 
Hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.

-Processor ya exynos inayokuja na s6 imedestroy processor zote za simu including snapdragon 810. officially ndio simu yenye speed zaidi duniani na toka note 4 samsung wamehitahidi kuifanya touchwiz nyepes.

-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth

Lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. Habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.
 
hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.

-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth.

lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.

Mkuu huwa i believe on u, coz u have more knowledge on this. Always i got a lesson from u'r comment.
 
Mh! mbona mfanano au wametoa clone ya iphone 6.
 
maybe kuhusu battery wamezingua lakini sd card ni vizuri ambayo hawajaieka sababu always watu wanataka sd card za bei rahisi na kusababisha simu kuwa slow.

s6 storage ndogo kabisa ni gb32 ambazo zinatosha kabisa matumizi ya kawaida na kama una matumizi makubwa kuna version ya gb 128. bado unalalamika sd card? ukumbuke s6 memory zake ni 2.5 faster compare na simu nyengine duniani mtu akieka menory card ni kama kufunga mkokoteni nyuma ya ferrari.

kuhusu design leo hii iphone 6 imekua design ya apple? si juzi juzi tu tulikuwa tunamponda apple kwa kucopy lumia na htc?

Video moja ya 4k ya let's say 1hour inachukua size gani?

Hii simu sio ya matumiz y kawaida labda dada zetu wanaoongwa ndio wanatumia insta fb na whtsp ila heavy user 32&64gb hazitoshi. hapo 32gb ikija ipo installed na apps za google unabakiwa na 30gb.
 
hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.

-Processor ya exynos inayokuja na s6 imedestroy processor zote za simu including snapdragon 810. officially ndio simu yenye speed zaidi duniani na toka note 4 samsung wamehitahidi kuifanya touchwiz nyepes

-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth.

Lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.

Hiyo battery vipi?
 
Maybe kuhusu battery wamezingua lakini sd card ni vizuri ambayo hawajaieka sababu always watu wanataka sd card za bei rahisi na kusababisha simu kuwa slow.

s6 storage ndogo kabisa ni gb32 ambazo zinatosha kabisa matumizi ya kawaida na kama una matumizi makubwa kuna version ya gb 128. bado unalalamika sd card? ukumbuke s6 memory zake ni 2.5 faster compare na simu nyengine duniani mtu akieka menory card ni kama kufunga mkokoteni nyuma ya ferrari.

kuhusu design leo hii iphone 6 imekua design ya apple? si juzi juzi tu tulikuwa tunamponda apple kwa kucopy lumia na htc?

Tusisahau kua android ni open source na kuna baadhi ya tricks zinazorequire sd card kutumia s6 nikujifunga tu kwa baadhi ya users, labda kwa wale normal users ambao they only use it for entertainment.

S6 internal memory kuwa faster with that 2.5 bado ni normal issue tu kwasabu S series zina offer 14MB/s write speed and 19MB/s read speed difference can't be seen much on that 2.5 gap.
 
Mbona hapo hamna copying yyte? Tuhuma za ushindani tu hizo.. Bidhaa za US zinapgiwa promo mno ndo mana, tofaut na za kutoka Asian Pacific na kwingineko
 
Hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.

-Processor ya exynos inayokuja na s6 imedestroy processor zote za simu including snapdragon 810. officially ndio simu yenye speed zaidi duniani na toka note 4 samsung wamehitahidi kuifanya touchwiz nyepes.

-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth

Lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. Habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.

Ila kwa mazingira yetu ya kiafrica nadhani wafanye marekebisho wa zile warranty zicover na kioo cha nyuma maana itakua majanga sasa ukiiondosha vikavunjika vyote
 
Video moja ya 4k ya let's say 1hour inachukua size gani?

Hii simu sio ya matumiz y kawaida labda dada zetu wanaoongwa ndio wanatumia insta fb na whtsp ila heavy user 32&64gb hazitoshi. hapo 32gb ikija ipo installed na apps za google unabakiwa na 30gb.

kwenye note dk 1 ni mb 350 hivyo saa zima inakuwa kama gb 21 hv. so una zaidi ya masaa 5 kwenye simu yako ya gb 128.

kama ni poweruser why uhangaike na gb 32 wakati kuna gb 128 though sijui wanachaji vipi kwa kila storage ikiongezeka. though am not sure pia inaweza kuwa na usb otg so utahamisha mafile kirahisi kama una external.

kwa video ambazo hazipo compressed 4k inaweza maliza internal memory ndani ya dakika tu. ila mwisho wa siku why 4k? kuna 1080 kwa 60fps na 720p kwa 120fps
 
Tusisahau kua android ni open source na kuna baadhi ya tricks zinazorequire sd card kutumia s6 nikujifunga tu kwa baadhi ya users, labda kwa wale normal users ambao they only use it for entertainment.

S6 internal memory kuwa faster with that 2.5 bado ni normal issue tu kwasabu S series zina offer 14MB/s write speed and 19MB/s read speed difference can't be seen much on that 2.5 gap.

kaka hatuongelei speed ya makumi hapa tunaongelea speed ya digits tatu.

-write speed s6 imescore 139MB/s
-read speed s6 imescore 314MB/s
-random speed s6 imescore 77MB/s

angalia hizo score then compare na zako halafu niambie utataka sd card?

maana class 4 za aggrey ni 4MB/s
ukienda posta ukapata class 6 ni 6MB/s
hata ukipata class 10 ni 10MB/s

sasa just compare hizo speed za sd card then compare na memory ya s6 utaona ni kama kuichafua simu kueka memory card.

unless ununue sd card zenye super speed na bei zake ni mamia ya dola ni bora tu ukachukua 128gb versiob.
 
Back
Top Bottom