proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Nina machine tatu nahitaji ziprint kwa wireless. Moja ni Canon advance Ir C3525, pili ni Canon Ir 2525 na pia print aina ya HP LaserJet m750.
Hii ya kwanza nikiingia kwenye network,bmenu zote za ndani ya network zipo off yani hazijawa highlighted. Hii ya pili (Ir 2525) nimefanikisha kuingia kwenye network nimeenable network settings na kuweka IP address na kusave ila nikiisearch kwenye network ili niprint kwa wireless lakini bado siipati.
Na hii ya tatu (HP m750) nimefanikisha kuweka IP na kufanya network setting ila inaleta ujumbe eprint not enable on your device.
Naombeni msada wa kuunganisha hizi copy ili ziweze tumika kuprint kwa wireless walau ikikubali moja itakuwa imenisaidia sana.