kwanza hiyo remote ni nzima? umejaribu kuibonyeza na kuilekezea kwenye camera , inatakiwa itoe meanga kama inavyoonekana kwenye picha hapo. Hiyo remote inaonekana ni ya singsung kweli.Tafadhali msaada nimenunua remote mpya ya singsung niitumie kwenye tv ya brand iyo ila haija respond vipi kuna procedure yoyote ku conect kama zile za universal
Remot test iko poa aloniuzia remot amenibadilishia dizain ingine singsung sema haina iyo nembo ya mnyama kama ya mwanzokwanza hiyo remote ni nzima? umejaribu kuibonyeza na kuilekezea kwenye camera , inatakiwa itoe meanga kama inavyoonekana kwenye picha hapo. Hiyo remote inaonekana ni ya singsung kweli. View attachment 1175185View attachment 1175188