Msaada: Nikiweka Memory (SD Card) kwenye simu inasema 'Damaged SD Card'

SAID KARIMU

Member
Jul 10, 2016
60
125
Msaada please simu yangu nikiweka memory card 16GB inaandika Damaged SD card. Naombeni msaada wenu please tatizo liko wapi au nawezaje kutatua tatizo hili.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu.

Screenshot_2019-11-10-17-19-56.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom