Huu mpango wa Instagram ni mzuri au utawaharibia?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,678
Reaction score
104,769
Instagram ambayo ipo chini ya Facebook imekuja na wazo jipya la kuficha idadi ya Likes kwenye post yao.

Kwa hiyo mfano Jamiiforums wakipost picha Instagram, Robort aka Like itaandika hivi:

IMG_5489.JPG

Liked by Robort and others Like this. Bila kuandika idadi. Kwahiyo mtu mwenye likes 300k na mwenye likes 5 watakuwa sawa tu.

Lengo kubwa wanasema ni wateja/watumiaji waangalie zaidi content na sio idadi ya Likes.

Mimi naona ni move nzuri na itafanya hii mitandao itumike vizuri kama ilivyokusudiwa
 
Ilishaanza miezi kadhaa nyuma kwenye nchi kama 10 hivi kuanzia kama jaribio, imepokelewa vizuri sana.
 
Watu wengi weye akili tumelipokea vizuri hili. Watu wafocus kwenye picha au video niliyoshare kwao na sio likes nilizopata.

Mbona whatsapp tunapost vitu status na tunaona wenyewe views, shida iko wapi kwa instagram na facebook?
 
Kweli kabisa, idadi ya likes na views zifichwe!

Wale wanaopata likes 6 baada ya siku 3 watakua sawa with different effect na wale wanaopata likes 2M kwa dk 10.

Wanaopata likes ndogo wanajidharau sana sometimes!
 
Instagram ambayo ipo chini ya Facebook imekuja na wazo jipya la kuficha idadi ya Likes kwenye post yao.

Kwa hiyo mfano Jamiiforums wakipost picha Instagram, Robort aka Like itaandika hivi:

View attachment 1258927

Liked by Robort and others Like this. Bila kuandika idadi. Kwahiyo mtu mwenye likes 300k na mwenye likes 5 watakuwa sawa tu.

Lengo kubwa wanasema ni wateja/watumiaji waangalie zaidi content na sio idadi ya Likes.

Mimi naona ni move nzuri na itafanya hii mitandao itumike vizuri kama ilivyokusudiwa
Wafiche na idadi ya comments. Hapo do watakuwa wameua kabisa.
 
Instagram ambayo ipo chini ya Facebook imekuja na wazo jipya la kuficha idadi ya Likes kwenye post yao.

Kwa hiyo mfano Jamiiforums wakipost picha Instagram, Robort aka Like itaandika hivi:

View attachment 1258927

Liked by Robort and others Like this. Bila kuandika idadi. Kwahiyo mtu mwenye likes 300k na mwenye likes 5 watakuwa sawa tu.

Lengo kubwa wanasema ni wateja/watumiaji waangalie zaidi content na sio idadi ya Likes.

Mimi naona ni move nzuri na itafanya hii mitandao itumike vizuri kama ilivyokusudiwa
Bado mtu si anaweza akaangalia idadi ya comments, au nazo watakuwa wanaandika hivyo hivyo?
 
Au kama vipi waweke mwenye account aweze kuona idadi ya likes na comments
 
Kweli kabisa, idadi ya likes na views zifichwe!

Wale wanaopata likes 6 baada ya siku 3 watakua sawa with different effect na wale wanaopata likes 2M kwa dk 10.

Wanaopata likes ndogo wanajidharau sana sometimes!
Pia wanaweza weka idadi ya views instead of likes and comments
 
Instagram ambayo ipo chini ya Facebook imekuja na wazo jipya la kuficha idadi ya Likes kwenye post yao.

Kwa hiyo mfano Jamiiforums wakipost picha Instagram, Robort aka Like itaandika hivi:

View attachment 1258927

Liked by Robort and others Like this. Bila kuandika idadi. Kwahiyo mtu mwenye likes 300k na mwenye likes 5 watakuwa sawa tu.

Lengo kubwa wanasema ni wateja/watumiaji waangalie zaidi content na sio idadi ya Likes.

Mimi naona ni move nzuri na itafanya hii mitandao itumike vizuri kama ilivyokusudiwa
Likes ni njia nyepesi ya kutoa feedback kwa aliyeweka content, kuna mtu anatumia lugha tofauti na yule aliyeweka content yake sasa hawezi comment ila ni rahisi kwake aki like kuonyesha kwamba amependa maudhui husika.
 
Waweke feature ya mtu mwenyewe aliyepost either aamue kuweka idadi ya likes public au iwe siri yake, wasifanye huo upuuzi wa kuficha likes tu, wafikirie instagram mpaka inafika hapo mbona ilikuwa na feature hizo na still made it?
Haya makampuni sijui wanafikiria nini! YouTube wana feature ya ku-hide subscribers na it works great.
 
Back
Top Bottom