Wataalamu wa simu za iPhone na Samsung

Martine Tibe

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
221
156
Nilinunua simu feki ya iPhone 6 mnadani kwa laki 4. Sasa naomba mnielekeze ni simu ipi nzuri ya iPhone (ngapi) na Samsung (ngapi).ili niweze kununua mpya dukani ikiwemo RAM, display nk.
 
Nilinunua simu feki ya iPhone 6 mnadani kwa laki 4. Sasa naomba mnielekeze ni simu ipi nzuri ya iPhone (ngapi) na Samsung (ngapi).ili niweze kununua mpya dukani ikiwemo RAM, display nk.
Kwa sasa nashauri ukinunua iphone anzia na 6s kwenda juu maana chini ya hapo haziwi supported tena, hivyo hutapata updates. Mfano iOS 13 inakubali kuanzia 6s kwenda juu.
 
Kama budget yako ni 1M nenda katafute Samsung A series yoyote unayohitaji kulingama na mfuko wako..ila kama inazidi 1M unaweza tafuta Sasmung S9 au Note 9..Kazi ni kwako!
 
Kwa sasa nashauri ukinunua iphone anzia na 6s kwenda juu maana chini ya hapo haziwi supported tena, hivyo hutapata updates. Mfano iOS 13 inakubali kuanzia 6s kwenda juu.
kama kigezo ni apdates basi hata hiyo 6s haifai.

maana atakaa nayo miezi kadhaa tu,mwakani kuna hatari zikaachwa kwa kigezo cha ram ndogo.kama ni hivyo akachukue 8 kwenda juu.

lakini kwa bajeti yake aachane na haya maana hata hiyo apdate siyo jambo la msingi sana maana haibadili chochote humo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom