Isus Seashell Series mini Laptop ina shida kwenye Keybody

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
617
500
Wataalam naomba msaada wenu,

Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi X kikafungua browser.

Hii shida inasababishwa na nini?
 

Mtwara Smart

JF-Expert Member
Jun 6, 2019
606
1,000
MAKOLE,

Pole mkuu, hapo kuna mawili
1. Keyboard Inajibonyeza
2. Hiyo sio keyboard ya laptop yako OG

Kwa experience yangu na hizi kazi, nakushauri Simple Tu

"NUNUA KEYBOARD NYINGINE"

Ningekuwa nayo hapa ningefanya Keyboard test ili Kufanya confirmation ila solution ya Keyboard always ni Kuibadili
Wahuni watakudanganya wanasafisha vumbi na blah blah nyingine haitatui tatizo.
 

Wood Stone

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
651
1,000
Wataalam naomba msaada wenu, ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard, Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu, unaweza kubofya kifungo cha herufi x kikafungua browser. Hii shida inasababishwa na nini?
- Jaribu kutumia touch keyboard kwenye computer kama italeta hiyo shida kama ya keyboard ya kawaida.

- Jaribu kuangalia pia keyboard layout yake na iweke ya USA.

kama bado inakuletea manjilinji. Muone fundi kwa msaada zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom