Msaada: Tv inatoa sauti lakini picha haionekani

Msaada: Tv inatoa sauti lakini picha haionekani

Mtui John

New Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Nina Tv (television) aina ya Startimes, leo nimeiwasha naona inatoa tu sauti lakini picha zinakuwa in deam light hazionekani kabisa. Shida inaweza kuwa nini?

Msaada please.
 
Nina Tv (television) aina ya Startimes, leo nimeiwasha naona inatoa tu sauti lakini picha zinakuwa in deam light hazionekani kabisa. Shida inaweza kuwa nini?

Msaada please.
Imekufa BACKLIGHT , kwa hiyo hakuna mwanga unaotokea nyuma ya screen kujuwezesha kuona picha.

Hii inaweza kuwa katika hali mbili:-
1. Either taa(Led) imeungua au zimeungua.
Au
2. Mfumo wa umeme wa kuwasha hizo taa (Led) una matatizo au kitu kimeungua.

Ni fundi mzuri pekee ndio anaweza kukusaidia
 
Back light zimekufa hapo, yangu pia ilifanya hivyo (LG) nilipeleka kwa agent wako Kariakoo wakaniwekea set ya taa mpya. Zilikia zinauzwa 80,000/-.
But hadi sasa inapiga mzigo fresh sana
 
Back light zimekufa hapo, yangu pia ilifanya hivyo (LG) nilipeleka kwa agent wako Kariakoo wakaniwekea set ya taa mpya. Zilikia zinauzwa 80,000/-.
But hadi sasa inapiga mzigo fresh sana
Nkweli. Tena wamepunfuza tuseme 17000×4 +ufundi au 2500×4plus ufundi
 
Back
Top Bottom