Computer internet

kyesha

Member
Joined
Feb 17, 2019
Messages
19
Points
45

kyesha

Member
Joined Feb 17, 2019
19 45
Msaada jinsi ya kuunganisha internet kutoka kwenye iphone kwenda kwenye computer
Nikijaribu ku connect hata USB option sioni
 
Joined
Jan 1, 2018
Messages
75
Points
125
Joined Jan 1, 2018
75 125
Msaada jinsi ya kuunganisha internet kutoka kwenye iphone kwenda kwenye computer
Nikijaribu ku connect hata USB option sioni
Nenda kwny Setting ya Iphone kisha nenda Personal hotspot weka ON hapo kisha nenda kwny Compyuter nenda pale kwenye alama ya network click once then zitakuja wifi itaichagua yako uta click utaeeka na Password yako from there itakuwa connected
 
Forum statistics

Threads 1,390,957
Members 528,320
Posts 34,068,119
Top