Kuna sehemu huwa tunatumia LAN kwa ajili ya internet kwenye PC, sasa tulikuwa tunatumia software kama connectfy, kusupply wireless kwenye simu from LAN. Ila sasa hivi karibia software zote hazikubali, je ukitumia USB wireless inaweza kukubali kuibadili LAN from PC to wireless?