Nimeafanikiwa kuintergrate M-Pesa, Tigo Pesa kwenye online store

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
378
225
Hatimaye nimeweza kuintergate the mobile payment to the online store.

Mwenye comment atupie, the site is just for demo.

bit.ly/2V5HJSj
me once again.png
 
rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
378
225
changamoto niliyokutana nayo ni kwamba wateja wanataka kufundishwa namna ya kufanya manunuzi online dah.
 
sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
242
250
kupokea malipo makubwa kupitia hio pasapal lazima uwe na tin number
Pesapal itakuwezesha kupokea malipo Kama ilivyoainishwa na mtoa mada
Pesapal api unaweza kuunganisha kupitia web ya kawaida au cms Kama WordPress,Joomla
 
rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
378
225
kupokea malipo makubwa kupitia hio pasapal lazima uwe na tin number
Pesapal itakuwezesha kupokea malipo Kama ilivyoainishwa na mtoa mada
Pesapal api unaweza kuunganisha kupitia web ya kawaida au cms Kama WordPress,Joomla
yeah tin number ni bure so nothing to loose
 
Ruge

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
2,483
2,000
hv pesa pal inafanya kazi bongo tu au hata nje ya bongo?? na vp ufanyaji kaz wake ndo kama paypal,skirill,money gram au ina utofaut gan na hzo payment system zngne?
kupokea malipo makubwa kupitia hio pasapal lazima uwe na tin number
Pesapal itakuwezesha kupokea malipo Kama ilivyoainishwa na mtoa mada
Pesapal api unaweza kuunganisha kupitia web ya kawaida au cms Kama WordPress,Joomla
sele255
 
ibrasoul

New Member
Nov 6, 2019
2
20
Hatimaye nimeweza kuintergate the mobile payment to the online store.

Mwenye comment atupie, the site is just for demo.

bit.ly/2V5HJSj
View attachment 1090324
Well done kijan , just one question, Suppose umeshafany procedures zote za malipo then kabla uja enter transaction ID kwa ajil ya verification , cm inazima, je baadae ukija ku login kwny account yako(Umeanza new session) , status ya order resume pale ilipoishia or ndo itapotea hvyo..! Hii kitu ilinitesa san ktk API ya selcom , I had to do some extra coding to make it work..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom