Kuna nini kwenye king'amuzi cha Azam?

Kuna nini kwenye king'amuzi cha Azam?

wilcoxon

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2017
Posts
1,271
Reaction score
3,395
Je, ameamua kurusha channel zote free? Au ni mbinu ya kibiashara kupata wateja wapya? Maana zote zinaonekana. Mwenye kujua atujuze.
 
hawa azam wafungue app yao kwenye simu, maana wengine wapo makazini hadi usiku walikuwa wanaangalia vipindi kwa kutumia simu lkn now days wameifunga. hii haiko poa kwa kweli
 
Sijui mkuu maana mie kabla haijaisha muda nalipia mapema.
 
Mara nyingi huwa inatokea kama njia ya maboresho kwenye system zao na pia njia ya kutangaza biashara zao. So huwa zina weza kuwa free weekend nzima alafu zikafungwa. Sio jambo geni mkuu
 
Back
Top Bottom