Jinsi ya kurudi kwenye group la whatsapp ulilotolewa bila kutumia application

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

Na'am, In shaa Allaah Leo Tutakhabarishana JINSI YA KURUDI KWENYE GROUP LA WhatsApp ULILOTOLEWA BILA KUTUMIA APPLICATION.

Ni Jambo Flani, Kqma Haliwezekani Hiviii LAKINI Linawezekana BiidhinLLaah.

MAHITAJI
1. SmartPhone Inayo-support WhatsApp
2. MBs Kadhaa.
3. Link Ya Group Ulilotolewa.
4. Namba Nyingine Iliyo Karibu Nawe (Iwe Hewani).

HATUA ZA KUFUATA
1. Bofya Vidoti Vitatu (Juu Kulia) > SETTINGS > ACCOUNT > CHANGE NUMBER > NEXT > Juu Utaweka Namba Unayotumia Sasa > Chini Utaweka Namba Mpya > DONE

MAELEZO KWA PICHA

9582d1da2dc028b02c597ace3e9a1a61.jpg


cb2309812e396dcbv2c1579e0f692de34.jpg


f7a477acc791d28fb58f94b4110e2548.jpg


e3f0d12bb6a479b53ed655ce4e988c3e.jpg


8321d9e98a1fcc3a510d0663009a572c.jpg


61e018342806bc3d00f28c968df5bea0.jpg


2. Click Hiyo Link Ya Group Husika Ili Ku-JOIN.

3. Tayari Utakuwa Umerudi Kwenye Group Bila Kutumia Application Yoyote.


NB:-
1. Hii Ni Kwa Ajili Ya Kujifunza Tu, Isiwe Sababu Ya KUWAVIMBIA Ma Admin

2. Hutopoteza Chochote Kwenye Account Yako.

3. Baada Ya Ku-Join Kwa Mara Ya Pili, Unaweza Uka-change Number Ili Irudi Ya Awali

 
Boss upo vizuri lakini kuna haja gani kupitia kote huko wakati ukiwa na link unaweza kuingia mda wwte hata km wamekutoa Mara 10. As long as una link si una click tuu unajikutamo.
mkuu ukiondolewa na admin hatakama una link ya hiyo group hawezi kuludi hadi aadmin akuadd au ubadlishe number ya simu alichokifanya hapo kubadili number ya simu coz hawezi kuludi hatakama ana link ya group
 
Mimi nilitolewa katika group flan lakin sins link wala nini na sins nambs ya admin kwahiyo ili sasa nataka nirejee bila ya kuwataarifu nifanyaje?
 
Back
Top Bottom