Msaada watu wa ICT

Oldgudy

New Member
Nov 13, 2019
2
0
Nimefuta app ya WhatsApp kwenye simu yangu W3 Lite, nimeistall upya nifanye registration imegoma. Hatua ya pili ya kuweka namba ili ifanye registration inagoma. Naombeni msaada nifanye nini nimeshajaribu sana bila mafanikio.

Hii ndio message inaniletea.

Screenshot_20191112-215835.png
 
Back
Top Bottom