Msaada: Jinsi ya kukomesha meseji toka Tigo

Rais Wa Malofa

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
681
773
Habari za jumapili wandugu.

Kama heading inavyojieleza nimekuwa nikipokea meseji nyingi toka Tigo. Kwa siku naweza pokea meseji zaidi ya mia mbili toka namba 100. Nimejaribu kuwasiliana nao kuhusiana na hili tatizo ila sijapata msaada wa kueleweka.

Naomba yoyote mwenye kujua jinsi ya kuzuia/kukomesha hili tatizo anisaidie.

NB: Natumia iPhone 7+

IMG_2235.JPG
 
Mimi pia ilikuwa hivyo walikuwa wananitumia mbili mbili kila muda, now wameacha so naamini kwako wataacha pia soon.
 
Rais Wa Malofa, Inaonesha unajaribu kupiga/kutuma sms/kuwasha data. Wakati huna salio.

Hakikisha hujaweka data on, kama huna data, na usiweke line Tigo kuwa default kama huna matumizi nayo. Au weka vocha jiunge na kifurushi chochote au block hiyo namba 100.
 
ymollel, iphone zote ukiweka line ya Tigo balaa ni hili. Uwe na bundle au huna.

Mimi nilipiga Customer Care kuuliza nikajibiwa niunge bundle nikajua kumbe naongea na ambaye hana suluhisho la tatizo hilo.
 
Hapo select hiyo namba yao ya huduma kwa wateja kisha nenda kwenye option ya “Block this caller”. Hutopata tena hizo sms.
 
Inaonesha unajaribu Kupiga/kutuma sms/kuwasha data. Wakati huna salio.

Hakikisha hujaweka data on, kama huna data, na usiweke line tigo kuwa default kama huna matumizi nayo. Au

Weka vocha jiunge na kifurushi chochote au block hiyo namba 100

Nina kifurushi cha mwezi mzee na vocha naweka karibia kila siku ila naona tatizo linaendelea
 
Rais Wa Malofa, Inaonesha unajaribu kupiga/kutuma sms/kuwasha data. Wakati huna salio.

Hakikisha hujaweka data on, kama huna data, na usiweke line Tigo kuwa default kama huna matumizi nayo. Au weka vocha jiunge na kifurushi chochote au block hiyo namba 100.
nina tatizo kama hilo lakin hakuna siku ambayo simu yangu imekaa bila salio kuanzia Salio la internet,Dk,sms n.k lakini unaweza ukakaa dakika chache unatumiwa text hizo kumi ndani ya dakika moja
 
Back
Top Bottom