Msaada: King'amuzi cha free to air (FTA)

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
3,976
2,000
Wadau, wajuvi na wenye uelewa na uzoefu wa idara hii ya vinga'muzi naombeni ushauri wenu

Nahitaji king'amuzi bora kabisa ambacho sihitaji kulipia chochote kwa mwezi na nitaweza kupata chaneli kadhaa za bure zikiwemo chaneli zetu za kibongo

Si hitaji makuu sana ila naamini visimbuzi hivi vinatofautiana ubota na upatikanaji wa chaneli za FTA
Naomba share na mimi ili nichukue nipate habari

Itakua bora zaidi kama utaambatanisha na garama zake na mahali vinapatikana na chaneli zinazo weza kipatikana
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,448
2,000
gharama 130,000 hadi 300,000 mahala msimbazi kariakoo karibu na jengo la simba. chanell local za kale kama ITV, Chanell 10, star tv etc pamoja na za nje utakazozitaka wewe

kanunue tu decoder ya kawaida ya terrestrial yenye mpeg 4 na bisskey, bonus inaweza ikawa na autoroll na power vu, tegemea na mfuko wako.
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,137
2,000
Nahitaji king'amuzi bora kabisa ambacho sihitaji kulipia chochote kwa mwezi na nitaweza kupata chaneli kadhaa za bure zikiwemo chaneli zetu za kibongo

Si hitaji makuu sana ila naamini visimbuzi hivi vinatofautiana ubota na upatikanaji wa chaneli za FTA
Naomba share na mimi ili nichukue nipate habari
Nitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
 
nzaghamba

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
531
500
Nitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
vipi hiyo V7 kama una dish la ft8 unaweza kupata channel kama ngapi kwa uelekeo wa East mkuu Mwl RCT
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,137
2,000
vipi hiyo V7 kama una dish la ft8 unaweza kupata channel kama ngapi kwa uelekeo wa East mkuu Mwl RCT
Channel ni nyingi, kutegemea idadi ya LNBf utakazo funga
- Waweza kufunga Cband katika hizi sat.
  • A7
  • IS22
  • IS20
  • IS906
  • NSS12
  • YAMAL
- Pia waweza kuweka KU kadhaa katika huo huo mwelekeo.

- Kikubwa ni kupata fundi anayeijua vyema kazi yake.
 
Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
3,976
2,000
Nashukuru wadau sasa ninapo pa kuanzia maana nipo mkoani huku na mwezi huu mwishoni nakuja Dar mara moja
Hivyo nataka nikija nichukue kabisa
 
Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
3,976
2,000
Nitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
Mkuu nimepitia uzi uliotoa link nimepata darasa la kutosha
Nauliza tu katika hivyo visimbuzi vya FTA inawezekana kupata HBO movies na Sony ile ya movie

Nataka kuchukua kingamuzi cha 125,000 dish la ft 6 na lbn 4

Sitaki mambo ya kununua akaunti
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,137
2,000
Nauliza tu katika hivyo visimbuzi vya FTA inawezekana kupata HBO movies na Sony ile ya movie
upload_2017-8-2_21-20-41.png

Sahihi kabisa, Utapata channel hizo za movie
 
marwarwa

Member
May 3, 2016
88
125
Msaada tafadhali kuna hizi TV flat ambazo zinakamata chanel za free to air hivi kunauwezekano wa kuunganisha na dish ukapata chanel nyingi zaidi.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
30,499
2,000
gharama 130,000 hadi 300,000 mahala msimbazi kariakoo karibu na jengo la simba. chanell local za kale kama ITV, Chanell 10, star tv etc pamoja na za nje utakazozitaka wewe

kanunue tu decoder ya kawaida ya terrestrial yenye mpeg 4 na bisskey, bonus inaweza ikawa na autoroll na power vu, tegemea na mfuko wako.
Mimi natafuta decoder(FTA) inayoweza kufungua channels zote za canalsat!.....ipo?
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,931
2,000
Nitakuuzia kwa TZS 125,000. V7 Max decoder, Itakidhi mahitaji yako.
- Kama upo mkoani Utatumiwa kwa EMS
- Kama upo Dar utapata maelekezo wapi uje uchukue.
- Karibu
Pia Post No.2 hapa:
Mkuu mfano Mtu yuko Mkoani atahitaji kuwa nini na nini ili aweze pata local channel baada ya kununua hiko unachouza mkuu na hizo installation naweza fanya mwenyewe au?.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom