Naombeni msaada wenu katika hili

betyxon

Senior Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
153
Points
225

betyxon

Senior Member
Joined Jul 1, 2015
153 225
Wakuu nashindwa kutuma email kwa Customer Care wa Samsung Account.

Iko hivi, kuna fomu nimejaza ila kwenye sehemu ya kuweka return email nikiweka email yangu na kusubmit, inakuwa rejected na kuandika invalid email address.

Hapo penye X nyekundu kwenye picha.

20191114_185454.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,367,038
Members 521,607
Posts 33,385,405
Top