valentino nakua
Member
- Nov 18, 2018
- 26
- 5
Habari zenu watafiti, wasomi na wachambuzi wa mambo. leo ni siku ya tatu napokea sms mfurulizo hadi zinakera. niliwapigia Airtel wakajibu sio sms zao labda niangalie setting ktk simu. kuna chanzo nakihisi kuhusu hili tatizo:kuna mtu nilimuomba anitumie namba na akaniambia ameshatuma kwa mfumo wa V card na haikufika. baadae siku iliofuata zikaanza hizi sms kuja kila mara. naomba msaada katika hili tatizo. sample sms hii hapa.