Sony wapo mbioni kusitisha biashara ya smartphone

Sony wapo mbioni kusitisha biashara ya smartphone

dexterous

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
2,037
Reaction score
3,149
Hiyo inatokana na kushuka kwa mauzo ya simu hizo. Idadi ya mauzo imekuwa ikishuka miaka hadi miaka na kupelekea kupotea kwenye soko la dunia.

Wameamua ni wakati sasa wa kuwekeza resource upande mwingine wa biashara

Sony’s smartphone sales:
  • 2017: 13.5 million
  • 2018: 6.5 million
  • 2019: 2.5 million (forecast)
 
Hivi Nintendo na Playstation ni product za Sony!?..
 
Hao jamaa sijui nini kinawakumba nowdays, walinichosha walipoiuza software yao ya sony vegas pro kwa sababu hizo hizo za mauzo.
 
Hao sony wazinguaji sana. Simu ya kawaida tu wanauza bei wakati unakuta simu yenye specs sawa kutoka china inakuwa nusu ya bei zao. Acha wapotee tu maana wameshindwa kupambana.
 
Hao sony wazinguaji sana. Simu ya kawaida tu wanauza bei wakati unakuta simu yenye specs sawa kutoka china inakuwa nusu ya bei zao. Acha wapotee tu maana wameshindwa kupambana.
wanaoongoza kwa mafanikio kwenye hii biashara ya simu,wanahangaika kuondoa bezzle wenyewe wao wamekomaa na matofali yao.

yaani mpaka unashangaa hawa vip?
 
Hiyo inatokana na kushuka kwa mauzo ya simu hizo. Idadi ya mauzo imekuwa ikishuka miaka hadi miaka na kupelekea kupotea kwenye soko la dunia.

Wameamua ni wakati sasa wa kuwekeza resource upande mwingine wa biashara

Sony’s smartphone sales:
  • 2017: 13.5 million
  • 2018: 6.5 million
  • 2019: 2.5 million (forecast)

htc kasha funga vyake,nokia mzee bill naye kama hana taka kuwapa wahindi habari za chini.
sony kwenye ushindani wa sasa walishindwa kujiweka sawa kukalili kuwa mtanunua tu
 
Acha wapotee unakomaaje kuuza Simu kila sikunina mwonekano kama mdudu bei kubwa, design zilezile za mwaka 2013. Anategemea kuuzia jina.

Atakujaga apotee mpk kwenye TV huko, maana unakuta ka TV chake kama resolution ya 720, inch 32 anauza laki 6.
 
Tatizo bei kubwa sana kwa specification za kawaida sana
 
Hao sony wazinguaji sana. Simu ya kawaida tu wanauza bei wakati unakuta simu yenye specs sawa kutoka china inakuwa nusu ya bei zao. Acha wapotee tu maana wameshindwa kupambana.
Kuna raising and falls
 
Back
Top Bottom