Naomba kujua kuhusu kifaa hiki

KIBESENI

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
339
268
Nimekiona mtandaoni kinauzwa. Je, ni kweli internet yake ni bila bando? Au kinafanyaje kazi? Maana kimeandikwa free internet. Please help me!

 
duniani hamna free Internet, ukiona free ujue kuna mtu anakulipia. Hapo ndiyo ujiulize ni kwa lengo gani akulipie internet? Yeye anafaidika na nini?
 
Back
Top Bottom