Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,778
- 7,375
Hellow members!
Nipo somewhere hapa kuna mrembo kanizoea sana. So this time kaja na kasimu chake kitecno Y3 (zile version na kitambo kidogo), nataka nirestall hiyo simu yake.
So wadau naomba mnielekeze namna ya kurestall. Nataka nichukue point tatu za heshima hapa.