The Ubuntu team is pleased to announce Ubuntu 11.10 Beta 2.
Codenamed Oneiric Ocelot, 11.10 continues Ubuntus proud tradition of integrating the latest and greatest open source technologies...
habari zenu wakuu,mimi nipo hapa bongo nataka kufungua account ya paypal.. Hivi inawezekana kwa hapa bongo, mwenye nayo naomba anielekeze na jinsi ya kudeposite hela na n.k... Nisaidieni wakuu
CAPE CANAVERAL, Florida (Reuters) - A six-tones NASA science satellite plunged through the atmosphere early on Saturday, breaking up and possibly scattering debris in Canada, NASA said.
There...
Mtazamaji ametoa ufafanuzi wa jinsi ya kufanya online marketing,wa2 wanetoa njia nzuri za kujitangaza,google ina njia kibao za kufanya marketing,JF ina forum ya matangazo cha ajabu hawa watu...
kuna movie kadhaa nataka kuzidownload kutoka internet ila kila nikijaribu kuzigoogle naletewa vipande(siyo movie nzima) na nikifungua baadhi ya hits nakutana na kujaza maform ambayo baadae...
Ombi kwenu wataalam, naomba mnisaidie jinsi ya kudownload drives za VGA,maana nimeweka Window XP,lakini nikakuta screen inaleta font kubwa sana, na nikienda kwenye settings nakuta kuna resolution...
The Ubuntu team is pleased to announce Ubuntu 11.10 Beta 2.
Codenamed Oneiric Ocelot, 11.10 continues Ubuntus proud tradition of integrating the latest and greatest open source technologies...
Hi all,
I am running Server 2003 Enterprise and want to establish a VPN so that the server can be accessed remotely by other computers both in and out of the local network.
I have tried setting...
Wakuu.. Heshima mbele,
Nina Computer (Acer, RAM 4GB, Processor AMD 2.4GHz) ina dual boot ya win7 na Ubuntu 11.04 but nashangaa bila sababu za msingi kila ninapojaribu ku log in kwenye ubuntu keys...
hi JF members,
nimekuwa nakabiliwa na sida ya invetor ninayoiunda inapata shida ya trasisstor zinapata joto upande mmoja. ambapo ktk hasli ya kawaida inatakiwa ipate joto pande zote ili iweze...
habari zenu wana jamii, nitafurahi kama nitapata msaada kutoka kwenu hasa kutoka kwa mabigwa wa gadgets, natafuta simu inayotumia os ya android ya bei nzuri kama laki 3 mpaka 4 hivi hapo bongo...
How To Tell If Your Woman Cheats And Her Other, Dirty Little Secrets...Is your woman cheating on you?
Is she thinking about it?
Is she living a secret, double life where she meets up with men for...
wakuu nimenunua simu ya samsung 3300k lakini access ya internet iko slow sana,kwa mwenye ujuzi anisaidie ni vipi naweza kuinstall opera mini au any other software itakayoongeza speed ya internet,
Google+ japo bado iko kweye beta sasa iko open kwa watu wote wenye gmail account kusajili a kuexperince. Lakini kilichonituma kucopy and paste a uzi haka ni huu uchahmbzui wa wataalam juu ya...
jamani nimezunguka siku nzima hapa Dar kwenye maduka yote yanayoaminika makubwa kwa kuuza computers na accessories lakini nimechemka, natafuta betri ya Lapton HP pavilon dv7 ambayo kulingana na...
Agile in a Nutshell
Agile is a way of developing software that reminds us that although computers run the code, its people who create and maintain it. Its a framework, attitude, and approach to...
ma phone has been switching off by itself and then on, came to check my messege folder no inbox, sent items or even drafts, speaking of the gallery folder it is empty, the only way i cud read sms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.