Buying DVDs Internationally..Paypal,Ebay to Tanzania..

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Ok habari zenu...

Ninajua sikuhizi unaweza kuship na kununua vitu online to Tanzania BUT! i have some questions kwa watu waliokuwa experienced navyo..Ukinunua e.g A DVD from Ebay or anysite which ships to Tanzania ukichagua Airmail or Economy airmail inafika baada ya siku ngapi? na sikuhizi hawaibi tena au?

"Naomba ajibu mtu aliokuwa ameshawahi kuship sio unanijibu wakati haujawahi kuagiza kitu online...."
 

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
338
55
mzee mbona unapiga biti wakati unataka msaada wa jibu inawezekana mtu hajatumia hiyo njia lakini akawa na jibu murua kuliko aliveagiza sasa huyo hutaki majibu yake?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom