Mlio huu unatokana na nini?

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,975
8,966
ni laptop aina ya Dell Latitude D600, ya zamani eti? Basi huwa inapiga kazi si mchezo,sasa hivi imeanza kutoa mlio wakati wa kufungua files hasa kama ni file kubwa,mlio wenyewe ni wachini sana kiasi kwamba sio rahisi kuusikia na unafanana kama wa msuguano hivi, sometime file linachelewa kufunguka au hata ku-freeze kabisa. Nitatizo gani hili wana JF?
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562

i think hard disk iko mbioni kufa. Hamisha ma docs na mafile yako muhimu to a safe place ASAP!
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,975
8,966
asante wajameni! Naomba pia mnijuze jinsi ya kuhamisha programs au tuseme software zangu?
 
Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
466
Jaribu ku run Check disk command na kurepair. Soma maelezo yake hapa au hapa

Unaweza pia kudoadowload tools za kutest Hard drive problem kama
hizi
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,975
8,966
Jaribu ku run Check disk command na kurepair. Soma maelezo yake hapa au hapa

Unaweza pia kudoadowload tools za kutest Hard drive problem kama
hizi

asante sana na ngoja nijaribu then ntakupa majibu! Nimeamini ukiwa na jamii forum huwezi kuogopa kuishi vijijini, nikikwambia nilipo utanionea huruma!
 
Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
135

TAKE NOTE OF THIS

1. HDD inakufa hizo tools haziwezi kuiponyesha! KUFA Kwa HDD kunatokana na msuguano wa kichwa kinachosoma na platter kuchubuka, kuchoka kwa motor, actuator mechanisms kufeli etc

2. Kama tatizo ni kufeli kwa HDD jibu bora ni kama waliosema waliotangulia. Back you Data. and forget about the damaged HDD.

3. Pengine hiyo sauti unayoisikia siyo hata ya HDD kama uliformat computer yako na ukaweka sound drivers ambazo siyo pia kuna sauti ambayo ni kama ya kukoroma kwa speaker vile!

4. Toa details za kutosha tukusaidie
 
ni hivi Mlamoto sijaweka hardware yoyote! Natumia window xp SP2. Mlio ninaousikia ni kama kuna vitu vinasuguana ni wakati inapofungua file pia inapokuwa inawaka, inakuwa very slow,even freezing!
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,975
8,966
ASANTE!i really appreciate your advice nisaidie pia kunifahamisha HDD ipi ninunue na bei yake katika soko, nipo poli huku inabidi niende mjini kununua!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom