Problem with opera min

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
409
195
Habari
Natumia nokia x2 imekuwa installed opera min version 4.2.12 kiukweli siipendi sio nzuri kama version 6.1 ila nashidwa jinsi ya kuibadili je kuna njia yeyote ya kuweza kuibadili?
 
Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,183
2,000
jaribu hii, ni operamini 6.1 'java', fanya extraction then Instal kwenye simu,,,,
 
Attachments

  • File size
    290.6 KB
    Views
    58

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,898
2,000
asikudanganye mtu. Opera 6 ni mbaya. Haina nguvu ya kufungua page kubwa. Ila opera 4.2 ndio kiboko.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,080
2,000
apollo huo ni mtazamo wako opera 4 haiwezi kukopy text but opera 5 au 6 inaweza. Mi naona bora uwe nazo zote visit hapa kwa version za opera na ucweb zote ambazo hazihitaji certificate just download hapa XtGem.com
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
975
1,000
asikudanganye mtu. Opera 6 ni mbaya. Haina nguvu ya kufungua page kubwa. Ila opera 4.2 ndio kiboko.

I dont agree with u hata kidogo mie natumia opera 6 na ni ten times better than opera 4.2.. tatizo sio opera bali specs za simu je inaweza kurun iyo

opera 6 kama simu haina uwezo uo utapata shida sana lakini kama uwezo unao aisee mie nikibrowse naona niko kama kwenye computer is

lightening fast and got alot of new features...pia ina depend maeneo na mtandao unaotumia kama unatumia GPRS/EDGE apo nakushauri tumia

zantel its very fast kwa GPRS/EDGE pia AIRTEL na VODACOM sio mbaya lakini TIGO terrible speed iyo ni GPRS/EDGE.. ni hayo tu
 
Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
Mimi natumia 4.3 ndıo naıona ipo pouwa sana.
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,898
2,000
\

Sikubaliani na wewe! Inategemea kiwango cha memory ambacho simu yako inayo!
hapana mkuu. Pia inatepemea na memory browser pia. 4.3 ina memory kubwa sana. Jaribu kuwauliza watu wanaotumia 6.1 na 4.3 (mf mimi) ndio utaambiwa. Sema tu 4.3 haina copy and paste. But ipo faster na simply kuliko 6
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,898
2,000
I dont agree with u hata kidogo mie natumia opera 6 na ni ten times better than opera 4.2.. tatizo sio opera bali specs za simu je inaweza kurun iyo

opera 6 kama simu haina uwezo uo utapata shida sana lakini kama uwezo unao aisee mie nikibrowse naona niko kama kwenye computer is

lightening fast and got alot of new features...pia ina depend maeneo na mtandao unaotumia kama unatumia GPRS/EDGE apo nakushauri tumia

zantel its very fast kwa GPRS/EDGE pia AIRTEL na VODACOM sio mbaya lakini TIGO terrible speed iyo ni GPRS/EDGE.. ni hayo tu

mimi simu yangu ina memory kubwa, pia natumia airtel. Tatizo la 4.3 haikopi na kupaste. But kiukweli ina nguvu mno katika kufungua page kubwa.mfano page ya matokeo ya bodi ya mikopo niliifungua kwa 4.3 ila kwa 6.1 ilizingua. Bora Uc Browser 7.9 mpya kuliko 6.1. Uc Browser 7.9 inasave memory and good in traffic charges.
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,898
2,000
apollo huo ni mtazamo wako opera 4 haiwezi kukopy text but opera 5 au 6 inaweza. Mi naona bora uwe nazo zote visit hapa kwa version za opera na ucweb zote ambazo hazihitaji certificate just download hapa XtGem.com

kweli, tatizo la opera 4.3 haikopi na kupaste, ila ina nguvu kubwa. Mimi nina kila browser katika simu yangu...hakuna new browser inayotoka ikanipita mimi. Mi ni miongoni mwa watu wanaopata news za browser updates mapema.
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,898
2,000
Opera 4.3 ndo best kwa simu. Tembelea "m.operamini.com"

waambie kaka, mimi nizo opera zote, ila 4.3 haijawahi kukataa kufungua pages kubwa. Ila 6 imekaa kimayai mayai. Ila 6 naipendea kwenye copy and paste na pia uki-search kwa google bila hata kuselect search inakuletea top search words kwa neno hilo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom