• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Paw
Reaction score
418

Profile posts Latest activity Postings About

 • maishapopote
  paw nimeomba namba ya Mike inbox yake hajanitumia mpaka leo nilipoteza nataka nilipie membership yangu fasta tafadhali nipm
  Red Scorpion
  Habari .... nashindwa ku log in kwa kutumia simu yangu
  Soso J
  mnawezaje kutusaidia kuondoa wimbi la utapeli humu JF?mfano watu tunawalalamikia kuwa ni matapeli lakini bado mnawapa nafasi ya kuendeleza kufanya maovu yao,mfano mzuri ni KIM2
  • Thanks
  Reactions: Paw
  Paw
  Paw
  Tunalifanyia kazi mkuu wangu
  OKW BOBAN SUNZU
  JF Moderator pole na kazi, lengo la PM yangu ni kuomba msaada ya kubadilisha ID yangu, badala ya OKW BOBAN SUNZU iwe HIPHOP MASTER. Hii ni kwa sababu ID yangu imepitwa na wakati. ID hii ni majina matatu ya waliokuwa wachezaji wa Simba, kwa bahati mbaya sio wachezaji wa timu hiyo tena, hivyo ID hii inaniletea usumbufu.
  Thanks in Advance, am wishing u nice wikeend
  J
  Nimeweka post kuhusu mwenyekiti wa wilaya ya korogwe na imetolewa na sijapata maelezo kwanini.

  Si taarifa ya kutunga, ni taarifa sahihi na sijui kwanini mmeamua kuitoa. Fanyeni mawasiliano nae na atawaambia nilichokiandika lakini pia fanyeni mawasiliano na Yusuph Mussa Mwandishi wa habari wa kujitegemea atawapa taarifa hiyo, kama hiyo haitoshi nendeni mkahakiki taarifa kama hiyo kwenye gazeti la majira la leo ijumaa desemba 6, 2013 ambapo katika ukurasa wake wa tatu ipo taarifa yenye kichwa cha habari CHADEMA WAUMBUANA WENYEWE KWA WENYEWE, ambayo inamaelezo mfano wa niliyoyatoa.
  Hata kama ikiwa mtu unamapenzi na chama fulani lakini inapothibitika kuwa taarifa iliyotolewa ni sahihi waacheni wana jamvi wapate taarifa hiyo na waijadili kama ilivyo utamaduni wa jukwaa hili. Ni jambo baya sana kulitumia jukwaa hili ambalo linaaminika na ni chanzo kikubwa cha habari kwa sisi vijana kwa maslahi ya mtu, ama kikundi cha watu binafsi na kuacha maslahi ya wengi.
  Wenu
  Juliana Shonza
  Tumaini Makene
  Paw

  Kwema mkuuu. Poleni na hongereni kwa shughuli. Naomba unitumie namba zako. Nimezipoteza. Plz.

  Makene
  Character X
  Habari, natamani kujua kwanini thread yangu "my friend zitto kabwe" imefutwa. asante
  PISTO LERO
  naomba mnisaidieku edit post yangu maana mimi nijijaribu inakataa ku sev mabadilikoKAMATI KUU CHADEMA KUJADILI MPASUKO KARATU.
  PISTO LERO
  naomba mnisaidieku edit post yangu maana mimi nijijaribu inakataa ku sev mabadiliko plz INAITWA,MTANZANIA ALIYE UWAWA NA HITLER.
  M
  aje nibadilishie jina to bhulebhule mkamu
  N
  Habari PAW nataka kubadilisha jina kutoka Nteko Vano kwenda Kuntu
  Primitive
  Habari Paw nataka kubadilisha jina kutoka "Gwandu" na kuwa "Primitive"
  Mlingwa
  Habari Paw,
  Nahitaji kubadilisha jina kutoka "ELC" na kuwa "Mlingwa"
  nice 2
  Naelewa jinsi ya kufanya lakini inagoma kufungua link ya ku manage attachments.
  Nimezituma videos na maelezo support ya JF mnisaidie kuweka kwenye thread yangu
  Shukran
  nice 2
  Moderator,
  Kuna tatizo kwenye kuweka attachment, nataka ku upload video lakini imegoma kabisa kufunguka page ya ku manage attachment.
  Please help
  only83
  Hallo Paw!!
  Naomba uzi wangu wenye kichwa cha habari " Rais Kikwete kuongea na wazee wa Dar Kesho" Ibadilishwe ili kuwa leo na sio kesho ili kuleta maana.
  Safari_ni_Safari
  Kwema tu......sijakuona kitambo ''kiutendaji'' .....naona watu wamenyooka
  Safari_ni_Safari
  Habari kamanda?......usini-ban nakusalimia tuu
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top