unlock nokia x6

mja

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
310
64
jamii, naomba wapi nitapata unlock key ya nokia x6, nimegoogle kwa muda , naona nazinguka tu, any linkl
regrds

mja
 
hi kuna njia nyingi za kufungua
simu tunaweza kutumia programu, cable, codes nk ... kati ya
yao codes ni bora siku hizi kuna maeneo mengi online. kupatikana ili kutoa
codes kufungua mobile.you unaweza kupata namba ya kutoka hapa prounlocking hapa kuuliza
maelezo yafuatayo ni muziki mfano, nchi na mtandao wa kufuli, yako ya simu imei
idadi ya Mkono hatimaye watatuma codes kufungua Mkono..
 
ndio lakini piga ua lazima utoe hela ili uko online wakuprovidie the precise unlocking code mie nige kushauri uwaende sapna hawa wako posta. Wataifungua bla shda na kwa wakat mfup pia bei zao sio kubwa kama mafund wengne wanaweza wakakuambia mpaka lak moja. Wakat unlockn code ni kwny elfu ishirini hv.
 
Back
Top Bottom