huu ni ugonjwa gani wa cds

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
5,771
4,715
wadau nina dvds zangu za movies collection mbili ambazo nimekuta zimefutika ile material ya silver ndani yake ambayo ndio hasa inayohifadhi kumbukumbu, kwa hiyo ukiweka kwenye player haisomi kitu na moja wapo naona ina dalili kama ya ukungu fulani kwa ndani na zote zilikuwa sehemu salama kabisa. sasa hili ni tatizo gani na naweza vipi kuzuia zilizobaki zisipata taizo hilo?
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,298
1,860
Tatizo ni DVD media iliyorekodiwa sio quality nzuri. Hakuna unaloweza kufanya zaidi ya kuzikopy movie kwenye higher quality media.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom