donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
wakuu hili tatizo linanikera sana. yaan ipo yang ya 30gb imekua slow sana kurespond adi natamani kuipasua. unaweza ukaselect mziki ukashangaa una play baada ya dakika tano. au inaweza ku stuck balaa adi uconect usb ndio inarecover from the stucking. wakuu itakua tatizo gani hili? naomben msaada wakuu