Msaada: Airtel wap

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,464
19,962
salama wakuu? mimi natumia samsung ch@t2222 au unaweza iita gt e2222. kasimu kangu haka kapo poa kwenye mambo ya net ila tatizo limeanza kujitokeza la slow connection. natumia opera mini,kuna mda inaleta network error or saa nyingine inaload slow sana adi page ifunge adi unakereka .nataka kujua tatizo 'coz nina monthly bundle kwaio sijajua kama ni error kutoka huko hukoi airtel or maybe its something got to do with my phone. Am stuck!
 

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,464
19,962
na sasa imezua jambo jipya ukiwa una download java app ikifika kwenye 30kb ina stuck for a while af inajicancell nakusema server not available
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
28,736
33,871
mpo eneo gan? Manake population hasa maeneo ya vyuo huwa kubwa mpaka net inakua slow

cheki pia access point yako manake wap si nzuri kutumia kwenye application kama opera manake si access point tumia airtel internet kuipata andika all kwenda 232 utapata wap,mms na internet

swala la kudownload nakushauri tumia download manager kama ucweb amabayo ina uwezo wa kudownload application zote hadi jar. Idownload hapa Download UC product - UC Mobile Ltd. ina resume support

kama tatizo litaendelea piga simu huduma kwa mteja
 

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,464
19,962
mpo eneo gan? Manake population hasa maeneo ya vyuo huwa kubwa mpaka net inakua slow

cheki pia access point yako manake wap si nzuri kutumia kwenye application kama opera manake si access point tumia airtel internet kuipata andika all kwenda 232 utapata wap,mms na internet

swala la kudownload nakushauri tumia download manager kama ucweb amabayo ina uwezo wa kudownload application zote hadi jar. Idownload hapa Download UC product - UC Mobile Ltd.[/u
my area.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom