Msaada window upgrade | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada window upgrade

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NewDawnTz, Sep 28, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wandugu nina ka mini laptop nilikanunua na Window XP na sasa nataka kuweka Window 7 Professional ambayo nina DVD yake niliyonunua nayo na computer nyinge ya ya Dell 780

  Sasa nataka fanya upgrade ya window 7 kwenye hiki ki-mini laptop lakini tatizo kama mjuavyo hivi vitoto havina DVD-ROM, sasa swali ni Je naweza ku-upgrade online au kuna option yoyote ya ku-upgrade bila kuhitajika kutafuta hiyo drive kufanya instalation kwa DVD niliyonayo?

  I will appreciate please
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  maswali ya kujiuliza:
  1. unauhakika wa kupata drivers za hiyo pc kwa window unayotaka kuweka? (jibu: click start, run, afu type "dxdiag" kisha note computer model yake kisha nenda kwenye web ya hiyo brand dell, hp au cjui ni toshiba then tafuta hiyo model yako na uangalie je inaweza kubeba hiyo window 7? ukiona ipo kwenye list bas na driver zake utapata na haitakusumbua ila ukiona kuna haipo ni bora uiache tu hiyo hiyo kama haina tatizo lingine)
  2. kwa nini ubadilishe window? (jibu: kama ina tatizo si ni bora utafute suluhisho la hilo tatizo kwanza je ukiweka na tatizo likiwa bado linaendelea? au umeamua tu kwa sababu unapenda window 7>>>>rejea swali la kwanza)
  3. hiyo pc ina specifications za kubeba window 7? (jibu: [h=1]Windows 7 system requirements[/h]


   If you want to run Windows 7 on your PC, here's what it takes:
   • 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor
   • 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM (64-bit)
   • 16 GB available hard disk space (32-bit) or 20 GB (64-bit)
   • DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0 or higher drive

  HAYO NDO YANGU...!!
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwanza inabidi lapy yako iwe na uwezo wa kubeba win7
  kama una cd yake njia rahisi ni kutafuta au hata kuazima kwa mtu external dvd drive na kisha una upgrade windows yako
  Njia nyingine ni kutumia flash drive, hapa unatakiwa kuwa na flash ya ukubwa wa kuanzia 4gb, pia unatakiwa kuwa na ISO Image ya windows 7(inabidi udownload). Check na hii site hatua kwa hatua jinsi ya kufanya
  How to create a bootable Windows 7 USB flash drive
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  P

  Wakuu kwa pamoja ni kwamba ina uwezo wa kubeba window 7 kwa kuwa kuna rafiki ana specification kama hiyo na inabeba

  Ni HP na ina RAM 1GB Processor 1.77/1.82 (kama sikosei maana hapa natumia nyingine) na pia ina GB 250HDD...

  Pia kuhusu drivers ninazo kwenye flash na zinakubali kwa sababu jamaa yangu nilimwekea kwenye mini laptop yake ya DELL yenye window 7 na zilikubali...

  Nitajaribu hiyo link nione itakuwaje na kuhusu option ya flash ntajaribu pia japo ninako ka flash ka 4GB tu sasa sijui kama kataweza...

  All in all, ahsanteni sana na nawashukuru japo bado naendelea karibisha mawazo ya kupanua akili zaidi juu ya hili maana hii XP kuna program naweka inanijibu OS haiko okay na ina roll back .....
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  poa mkuu...ila kwa hilo la CD mi nakushauri tafuta external drive tu..mbona zimejaa kibao kwa washkaji tu...maana ya ku download au hizi iso images sometimes zinazingua sana ...sasa kama unayo dvd original kwa nini upate tabu!?
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu sijui kama nimekupata.

  Muhimu hiyo DVD ya windows 7 uliyonayo kama ni zile za OEM inaweza kukugomea kuistall kwenye mashine nyingine. So may be utahita DVD ya windows 7 isiyoya OEM na hii inawezak uwa haina baadhi ya drivers then utatafuta drivers kama za VGA na NETWORK. . Tena za network ni muhimu sana so kabla ya uchakachuzi hakikisha unazo.

  kwanza Kwenye windows Xp kuna k itu kinaitwa virtual CD/DVD drive- Yaani hata kama mashine yako haina CD drive ukifuata malekezo fulani nauistall ka program fulani basi unaweza kweka folder fulanikwenye derive C then ukatumia hiyo program kubadilisha hilo folder liwe kama CD drive au DVD drive . Mimi hii program ilinisaidia kipindi fulani .Unaweza ipakua hiyo tol na maelezo yake hapa . Tafuta mashine yenye DVD drive copy content za windows 7 DVD drive ziwee kwenye external USB drive then kutoka kwenye external ziweke kwenye drive C. Then kwenye drive C unaweza kubadilisha hilo folder lionekana ma CD drive. kwa kufuata maelekezo ya Virtual CD drive.

  Pili njiia hii haitofautini sana na ya pili ila hapa hatumii virtual CD ya XP kupgrade . Unatumia DOS. So unaweza kuhamisha file za window7 kutoka wenye etenal kwenda kwenye Drive C ikishamaliza basi unarun w akutumia Dos eecutin file la kikimbiza widows 7 na kuupgrade
  Kama nimekuchanga unaweza kusoma hapa .


  Tatu . Azima extenal USB DVD drive

  Nne neno wndows 7 un attended installtion utakutana na artcile kama hizi wndKwenye DVD wewe utatumie ile virtual kama ya kule juu

  Hakikisha katika uchakachuzi umechukua backup ya data zako muhimu.

  Gooo luck
   
 7. sam2000

  sam2000 JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tafuta usb and make it bootable, fuata maelekezo haya,
  You must be using Vista or Windows 7 to create a bootable USB.


  1. Insert your USB (4GB+ preferable) stick to the system and backup all the data from the USB as we are going to format the USB to make it as bootable.

  2. Open elevated Command Prompt. To do this, type in CMD in Start menu search field and hit Ctrl + Shift + Enter. Alternatively, navigate to Start > All programs >Accessories > right click on Command Prompt and select run as administrator.

  3. When the Command Prompt opens, enter the following command:
  DISKPART and hit enter.
  LIST DISK and hit enter.
  Once you enter the LIST DISK command, it will show the disk number of your USB drive. In the below image my USB drive disk no is Disk 1.

  4. In this step you need to enter all the below commands one by one and hit enter. As these commands are self explanatory, you can easily guess what these commands do.
  SELECT DISK 1 (Replace DISK 1 with your disk number)
  CLEAN
  CREATE PARTITION PRIMARY
  SELECT PARTITION 1
  ACTIVE
  FORMAT FS=NTFS
  (Format process may take few seconds)
  ASSIGN
  EXIT
  [​IMG]
  Don’t close the command prompt as we need to execute one more command at the next step. Just minimize it.

  5. Insert your Windows DVD in the optical drive and note down the drive letter of the optical drive and USB media. Here I use “D” as my optical (DVD) drive letter and “H” as my USB drive letter.

  6. Go back to command prompt and execute the following commands:
  D:CD BOOT and hit enter. Where “D” is your DVD drive letter.
  CD BOOT and hit enter to see the below message.
  BOOTSECT.EXE/NT60 H:
  (Where “H” is your USB drive letter)
  [​IMG]

  7. Copy Windows DVD contents to USB.
  You are done with your bootable USB. You can now use this bootable USB as bootable DVD on any computer that comes with USB boot feature (most of the current motherboards support this feature).

  Note that this bootable USB guide will not work if you are trying to make a bootable USB on XP computer.

  After that weka your bootable usb kwa netbook na upgrade!
   
Loading...