Nahitaji DELL LAPTOP kwa TZS. 700,000/

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Jamani mwenye kufahamu iwe duka au mtandao ambao naweza kupata Laptop aina ya DELL kwa TZS.700,000/= yenye RAM minimum 4GB na kuendelea, screen size 14 inch na kuendelea, webcam, bluetooth, WIFI, HDD 120 and above.
 
Nenda Kariakoo opp na sheli mtaa wa Uhuru kama unaelekea Mnazi MMoja kuna kaduka flani ka comp accesories na vile vile wanauza Dell za ukweli kwa hiyo bei yako.
 
Jamani mwenye kufahamu iwe duka au mtandao ambao naweza kupata Laptop aina ya DELL kwa TZS.700,000/= yenye RAM minimum 4GB na kuendelea, screen size 14 inch na kuendelea, webcam, bluetooth, WIFI, HDD 120 and above.
tuwasiliane mkuu kwa number hii kaka ndio nimeingiza mzigo, kwa number 0717161615
 
HP Probook 6730b kwa TZS.790,000/= yenye RAM 4GB , screen size 15 inch ,fingerprint, webcam, bluetooth, WIFI, HDD 500GB and
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom