Salamu wakuu. Ninacreate a wap community and nipo kwenye final touches lakini napata hii Error!!! message:
Error! Cannot Connect To Database...
This error happens usually when backing up the...
This is a list of some of the most bizarre programming languages you will ever see. These types of languages are usually called "Esoteric Programming Languages". An esoteric programming...
Do you have some cool gadgets for home use ? How about construction equipment and technology ?
Share it below on the FB page described below :
New Facebook page about Projects, Construction and...
WanaJF wenzangu mambo vipi? naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu.Natumia simu ya Nokia E61i nitawezaje kuweka picha za matukio mbalimbali ya kufurahisha kuelimisha na kuhuzunisha hapa JF na hii ni...
Salaam wana Jf
simu yangu ni nokia 2730-classic. bluetooth haifanyikaz bila kuweka line ya voda .
Mimi ni mtumiaji mzuri wa tigo! naomba mnisaidie namna ya kusolve hili tatizo.
wadau mim ni mpemz mkubwa wa laptop za dell na sony. Na katka ku2mia hzi laptop nimetokea kupenda ubora wa sony vaio. Je vp myie wadau eti kat ya hz brand 2 ipi kali
Habari zenu wadau, naomba msaada wa kuelekezwa jinsi gani ya ku-save files mbalimbali ( mfano pdf files) kwenye email yangu ya yahoo.
Naweza kutengeneza folder, tatizo linakuja jinsi gani nitaweza...
Wadau mimi kuna kitu kinanisumbua. Hivi kama 'earthquake' ikitokea kwenye sayari ya mars, wataiita 'marsquake'? Halafu vilevile, what happens when an 'irresistible force' hits an 'immovable...
Jamani kila ifikapo saa mbili usiku, Satellitite signaling ya ITV zinamekuwa na Scratching sana, hiyo inaendelea hivyo hadi asubuhi then zinarudi kawaida. mimi natumia Dish la tf6, jamaa yangu ana...
Naombeni msaada kwa anayejua hii kitu,yaani aliyefanikiwa kupata hii service(kuona hizi channel tano kwenye simu, TBC1,EURONEWS,B4U,SEESAW & SUPERSPORT BLITZ).Mimi nimejaribu sana kwenye simu...
Nina uhakika teknohama imekuwa mno. Sasa hivi kuna watu ni mahodari ktk fani hii.
Mimi kuna mtu natafuta namba yake ya simu. Jina lake nalifahamu. Je inawezekana kuipata namba yake bila yeye kujua.
Wakuu habari zenu.natumai mpo fresh mkiendelea na mapambano ya maisha.natafuta ups inayoweza kuhimili computer 5..kama mtu anajua wapi nitapata nzuri na bei yake hapa dsm naomba anijuze tafadhali..
Naombeni ushauri, kuna jinsi ya ku-resize HDD partions? HDD ya computer yangu ina patition C:20GB na D:60GB, nataka ni-resize na kuwa 50GB kwa 50GB. Natanguliza asante.
Habari,,,,
Jamani naomba msaada wenu simu yangu ya nokia x3 inanikatalia security code niliyokuwa natumia kipindi chote yaani kila nikiingiza inaniambia code error. Nimejaribu kutoa betri then...
br znu wakuu, hiyo hapo juu ni sofware nzuri sana ya ku convert hata scanned doc to word, Exel, Publisher etc kwa anaeweza ku crack key yake afanye msaada. ni matumaini yang hapa hakishindikani...
Wakuu mimi natumia Kaspersky 2011 itakayoexpire baada ya siku 182 zijazo,ila jana kiliingia kirusi fulani hivi wakati nilipokuw na update computer yangu, kirusi hiki kilidanganya security defender...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.