Resizing HDD Partitions

Resizing HDD Partitions

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Naombeni ushauri, kuna jinsi ya ku-resize HDD partions? HDD ya computer yangu ina patition C:20GB na D:60GB, nataka ni-resize na kuwa 50GB kwa 50GB. Natanguliza asante.
 
sasa jumla ya C na D ni 70Gb inakuwaje unataka kupata 50Gb kila moja ambapo itakuwa 100Gb. Anyway download partition magic au acronis unaweza fanya resizing hata kama hdd ipo na os + data
 
With Acronis waweza ku resize kirahisi zaidi, ila be careful kama sio mtaalam waweza kupoteza data zako au computer isi boot tena.
 
Back
Top Bottom