Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau, naomba kujua vyuo vilivyopo Dar ambavyo vinatoa kozi ya Graphics Designing, i.e., Photoshop, Illustrator, na In-Design. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nani ameshatumia Universal moderm? Nini tofauti yake na moderm nyingine (Yaani namaanisha kama nikiweka laini ya airtel na mwingine anatumia moderm ya airtel inatofauti?)? Regards
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Does Sasatel modem operate with other ISP SIM cards? kindly advise! i would like to cary only one modem while in different locations with strong/weak signals.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeangalia remote control nyingi na simu za mkononi na kubaini kuwa kwenye kitufe cha namba 5 kuna kinundu kidogo. Nataka nielewe kazi yake ni nini au kina maana gani?.
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wadau natafuta cm aina ya sumsung galax pro mpya.mwenye nayo anicheki 0713-014400
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ninajua huku kuna wajanja ambao wanaweza kunisadia maelezo ya jinsi ya kugundua kama simu ya samsung ni original au fake,tips zake.tafadhali
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwenye key ya window microsoft office 2010 masaada!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wakuu, Kuna hii feature inaitwa push to talk kwenye simu. Naomba maelezo, yasiwe ctrl+c na ctrl+v yaani copy na paste.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Stuxnet-Like Virus Points to New Round of Cyber War TEHRAN (FNA)- Internet security specialists have warned of a new round of cyber warfare in the form of a computer virus similar to the malicious...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
WanaJF anomba ushauri ktk hili: Lap top yangu ni aina ya HP Pavilion dm3. Inapata sana joto ninapokuwa natumia ikiwa connected kwenye umeme, zaidi ni pale nikitumia internet. Na ikitokea hivi huwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hey people,eti nitawezaje kupata service sijui ndio software ambayo unaweza uka record calls unazopiga na kupokea.Au ni lazima iwe automatic kwenye simu,msaada please.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajf msaada jinsi ya kuflash n73
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Tupo ktk mchakato wa ku implement e-LMS. Framework tunayotumia ni .NET(ASP.NET). Tunaomba ushauri wa Open source e-LMS ambayo tunaweza ku-customize kulingana na development environment yetu. Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina shida katika computer yangu, natumia windows 7 na katika kugusa gusa nilijaribu wakati fulani ku edit user acc na toka wakati huo kila nikijaribu kufungua folders:- my computer, documents...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu samahani naombeni msaada waharaka computer yangu naambiwa window nayotumia siyo orginal! sasa nifanyeje? ninayotumia sasa ni windows 7 proffessional! ila wakati nanunua machine CD yake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman simu ana ya nokia 3110 imegoma kusoma memory card.nimeambiwa solution ni hiyo jumper.je JUMPER NDIO NINI?
0 Reactions
0 Replies
803 Views
simu yangu inatumia android v2.2(froyo) kama kuna uwezo wa kupata equalizer.naomba mnisaidie.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kwa wale wasio na DSTV na hawataki kwenda kubanana vibandani mechi ya chelsea Vs Arsenal itakuwa streamed online.Najua wengine mnajua ila kwa wasiojua ni kwamba unaweza kuangalia mechi hii...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
NDUGU zangu nimandika post ndefu juu ya kuflash modem za airtel na tigo bure coz sifanyi biashara. kwa wale mnaowasiliana na mimi kuwa mnaitaka software ya kuflash modem,basi jitahidini...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
I have discovered that the window games was not installed in my computer during OS installation, the installed OS is legal one. Is it possible to install games for free now probably from windows...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Back
Top Bottom