Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajf naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata Arcgis Version 10 pamoja na crack zake naomba anifahamishe kwa hilo asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa mahitaji yako ya pc games kama vile ; CALL OF DUTY BLACK OPS,CALL OF DUTY MODERN WARFARE,FIFA 11,FIFA 12,HALF LIFE 2,NFS HOT PURSUIT 2011,FREESTYLE FOOTBALL SOCCER,NFS MOST WANTED,NFS...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Last week niliomba ushauri juu ya laptop yangu inayopata sana moto ninapokuwa naitumia ikiwa connected kwenye ac power. Wanajamii mlinishauri vitu vingi tu, nasema asante. Miongoni mwa mambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wana JF especially watu wa jukwaa hili. naomba kupata link ambayo nitaweza ku download ISO Image ya Laptop yangu Dell Latitude E6410, windows 7, 64 bit au 32 bit. hard drive yangu ili crash...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hembu tuambiane tofauti kati ya hizi search engines google search, bing, ask, yahoo search ,wikipedia ,amazon etc.
0 Reactions
1 Replies
936 Views
wadau up to nw nashindwa kusoma mms wala kutuma kwenye simu yangu ya ideos yeny os ya android 2.2 naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa juu ya tofauti ya blog na website, hususan nataka kujua kuhusu blog ni kitu gani na website ni kitu gani? Ni hayo tu....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapi nita download free operating system XP SP3 for my kid's computer.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nina shida kidogo kuhusu drivers kadhaa za windows 7,je driver inayohusika na ku-display FN key baada ya formatting ni ipi?,na what drivers do you use kama ukitaka ku=update driver na hiyo driver...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau laptop hii nilikuwa nayo mbali kwa mwezi mmoja hivi sasa nimeikuta imechafuka ina kama michirizi na vidot kama vya maji kuanzia kwnye kioo had hii housing yake JE INARUHUSIWA IFUTA KWA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Apple CEO Steve Jobs gestures during his unveiling of the iPhone 4 at the Apple Worldwide Developers Conference … Steve Jobs’ sister Mona Simpson shared in the eulogy she delivered at the late...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu.anaetaka kufungu modem e1750 safaricom anitafute kupitia no,0719777767 arusha garama ni shilingi elfu 15
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamii, kuna mtu ameniletea receiver ya HUMAX kutoka kampuni ya ADMC Sport ambayo tayari imelipiwa mwaka mzima, lakini bado sijajua aina ya dish, satelite, frequency pamoja na direction Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi sasa naanza kuona side ya 2 ya hii kitu kuwa ni mbaya sana Jamaaa yangu anasoma mambo ya ICT,kanieleza jinsi anavyoigia kwenye account za watu kila siku isue ni kujua tu email address yako...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
nafanya installation ya window 7 ultimate kweny laptop aina ya HP Pavailion dv3 inamaliza vizuri mpaka mwisho ila pana tatizo moja graphics au maandishi yanakuwa makubwa inakuwa kama driver za vga...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Nimetuma Ps3 Game moja kutoka ebay..lakini kwenye BOX sijaiona nadhani niende kuchukua wapi parcel?? kama Posta ipi? na pia ninayo tracking number.je nikiwapa tracking number watanisaidia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Communication, Science and Technology minister Prof Makame Mbarawa ( picture below) yesterday launched a state-of-the-art communication and information technology centre, dubbed ‘TANZICT and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu kila nikijaribu kufungua accoun yng ya gmail kupitia google napata msg hiyo hapo chini lkn web zingine zinafunguka naomba msaadakwa wenye utaalam This webpage is not availableThe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni kijana nina umri upatao miaka 20,ninasoma B.Sc IT nchini India ikiwa ndo semester yangu ya kwanza.Kuanzia nimefika chuoni nimekuwa na tatizo kubwa sana kwenye somo la programming na sio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Click here to join us thanks: Official Page Tone Radio-Tz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom