Pata namba ya simu ya mtu yeyote ukiwa unalijua jina lake

Jiwejeusi

JF-Expert Member
May 3, 2011
754
131
Nina uhakika teknohama imekuwa mno. Sasa hivi kuna watu ni mahodari ktk fani hii.
Mimi kuna mtu natafuta namba yake ya simu. Jina lake nalifahamu. Je inawezekana kuipata namba yake bila yeye kujua.
 
Nachojujua ukiwa na namba ni rahisi kufahamu jina lake. But vise versa sijui!
 
Majina yanaweza kufanana!labda umsake huko kwenye Facebook kama yupo ila nahisi inaweza ikawa ngumu
 
Nina uhakika teknohama imekuwa mno. Sasa hivi kuna watu ni mahodari ktk fani hii.
Mimi kuna mtu natafuta namba yake ya simu. Jina lake nalifahamu. Je inawezekana kuipata namba yake bila yeye kujua.
YAANI ... Kichwa vcha habari na habari yenyewe tofauti......... MI nilidhani unatupa hiyo teknohama ya kufanya hilo jambo...... KUMBE WEWE UNATAKA TUKUPE
 
ukitaka kumjua mtu kama una numbe ni rahisi voda unatumia huduma ya m-pesa unaweka number hiyo then kiasi una exceed amount iliyokwenye account yako then itakupa ujumbe wa kushindwa kufanyika kwa transaction na jina la ile number
Tigo na Airtel cjajaribu.
 
jina la kike naweza kupata namba yake na majina ya kiume yanayofanana na kike.awe mkazi wa tanzania,dar es salaam,kijitonyama mtaa wa mali.mia
 
ungefahamu namba yake hapo sawa sio ufahamu jina, majina yamefanana
 
YAANI ... Kichwa vcha habari na habari yenyewe tofauti......... MI nilidhani unatupa hiyo teknohama ya kufanya hilo jambo...... KUMBE WEWE UNATAKA TUKUPE
Ni kweli kabisa kuna kosa la kiufundi katika uandishi wa kichwa cha habari, ni vigumu kujua kama anauliza.
 
YAANI ... Kichwa vcha habari na habari yenyewe tofauti......... MI nilidhani unatupa hiyo teknohama ya kufanya hilo jambo...... KUMBE WEWE UNATAKA TUKUPE

mimi nilipoona kichwa cha habari tu.nikajua kweli jf kiboko.ki ukweli heading imeuza.
 
Majina yanaweza fanana, ila kwakutumia namba ni rahisi kujua jina lake.
 
Back
Top Bottom