Antivirus gani nzuri zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Antivirus gani nzuri zaidi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mrimi, Oct 26, 2011.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu mimi natumia Kaspersky 2011 itakayoexpire baada ya siku 182 zijazo,ila jana kiliingia kirusi fulani hivi wakati nilipokuw na update computer yangu, kirusi hiki kilidanganya security defender ikawa inatoa alerts za kuonesha kwamba computa is infected, kikawa kina interfere mpaka matumizi ya kawaida ya computer.Nilifanya full scanning kwa kutumia Kaspersky lkn ikashindikana. Niligoogle solutions, wakaniambia nitumie Antimalwarebytes lakn ikashindikana ikabidi niformat computer ndio tatizo likaisha.

  So, naomba nifahamishwe what is the best antivirus kwa sasa?
   
 2. yangoma

  yangoma Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utajuzwa mkuu
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
 5. serio

  serio JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,930
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  volume 2, ya sugu.!! lol
   
 6. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  bitdefender 2012 ni ssolution ya tatizo lako.
   
 7. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Really? There is no best Antivirus. Japo zipo mbaya! Wanaoandika Virus wanakuja na njia tofauti kila leo! Chakufanya ni ku'update AV mara kwa mara alafu usiwe unatumia account za administrator. Tengeneza zingine za kutumia. Za administrator zote tia pasword na uachane nazo. Utumie tu wakati unataka kufanya installation! Sawa Mkuu?!
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Chukua Internet Security - Norton.

  Zamani walikuwa wapuuzi sana kwani wanabana kila kitu. Ilikuwa inaleta udhia.Sasa hivi nimewapenda sana na kilichonifurahisha zaidi ni tabia ya program yao kuanza ku-SCAN disc mara tu ukiiacha Computer na screen ikafanya Screen Sever. Inaipumzisha Screen na inaanza vitu vyake kuikagua DISC yako. Ukarudi baada ya masaa kadhaa, unakuta imeshakusafishia uchafu wote ndani.

  Ukiacha hiyo, nakubaliana na mwandishi hapo juu kuwa SUGU nayo ni nzuri sana. Ipo inapatikana bure tu kwenye YOUTUBE na hapa JF kuna link.
   
 9. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  natumia avg internet security pamoja na autorun eater tangu nitumie sijapata tatizo lolote
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama unabadilisha AV kwasababu imeshambuliwa na virus siku moja basi utabadili nyingi sana.
  Virus wanatengenezwa kila siku, hivyo watengenezaji wa AV wanakazi ya kubaini Virus wapya na kuongeza updates kwenye AV zao pindi wanapo baini virus wapya. Ndio maana unatakiwa ku update Av kila mara.
  Sasa inawezekana kirusi hicho kilikuwa bado hakijabainiwa na watengenezaji wa AV na kutengenezewa definition yake kwaajili ya ku update AV ndio wewe ukakipata, hapo AV haita kitambua kama virus
  So hakuna Av inayoweza kuzuia virus kwa asilimia miamoja.
  Nakushauri achana na AV za kibiashara zaidi kwa kuwa zinawekwa madoido mengi sana kukufanya uamini zinafanya kazi sana na kumbe zinatumia nafasi kubwa sana kwenye ram yako na kupunguza performance ya pc yako
  Microsoft ni watengenezaji wa windows hivyo kwa kutambua wateja wao wa windows wanapata karaha ya virus wakaamua kutengeneza AV yao inaitwa Microsoft essential security, Av hii ni nzuri sana na ipo nyepesi, haina madoido ipo straight kuzuia virus, kamwe haifanyi pc kuwa nzito na ina ufanisi mkubwa sana na ni ya bure kabisa.
  Kwa kuzingatia wao ni watengenezaji wa windows watakuwa wanajua vizuri zaidi mahitaji ya ulinzi salama kwa windows zao kuliko third parties waliopo kibiashara zaidi.
   
 11. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Maelezo yamejitosheleza kaka.NO COMMENT.
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  tumia arv mrimi aka baba munanka
   
 13. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hivi watu wengine mtakua lini?
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Life is too short to scare of virus
   
 15. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Tafuta, AVG au Eset Smart Security Zinadunda mzigo kupita maelezo, Hata hivyo hakuna Ant virus makini kwa mashine za window, La msingi weka ubuntu kwa Komputa yako na utumie ubuntu wakati wa kutumia mtandao.
   
 16. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka maelezo yako ni mazuri, lakini hapo kwenye RED, Hiyo AV ya microsoft unaweza tu kuitumia kama window yako ikiwa ni Original, Ukijaribu kuweka hiyo anti Virus kwa hizi window za mtaani zilizochakachuliwa, utalia mara mbili. Utapambana na "window counterfaint" Itakuwa na screen nyeusi, na mwisho wa siku itagoma kufanya kazi. Usijaribu kuweka hiyo anti virusi ya microsoft kama huna window Original, siku ukii update tu, utanaswa na baada ya siku kadhaa, Desktop yako itakuwa nyeusi na kukuhitaji uweke iliyo orginal.
   
 17. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu hii kitu ndo nasafa nayo! sijui nifanye nini? vipi wapi naweza kupata window orginal kabisa?
   
 18. P

  Paul S.S Verified User

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu sidhani kama upo sahihi, mimi natumia windows 7 ya mazabe na ninatumia hiyo AV,
  Cha umuhimu ni kutafuta activator kwaajili ya kuactivate windows yako.


  mkuu just google windows activator utapata nzuri na itaifanya windows yako kuwa activated
   
 19. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ya mr.two sugu..luge pole
   
Loading...