Wataalam wa MySQL na PHP Msaada wenu unahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa MySQL na PHP Msaada wenu unahitajika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Given Edward, Oct 23, 2011.

 1. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Salamu wakuu. Ninacreate a wap community and nipo kwenye final touches lakini napata hii Error!!! message:

  Tatizo ni nini? Naomba msaada wenu tafadhali. Ahsanteni, Nawasilisha.
   
 2. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Please, nahitaji msaada wenu.
   
 3. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Unatumia cms ipi?
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unatumia script gani? Cheki configuration file . inawezean kuna vitu kama
  database name au passpword au Host name umekosea detail zake.

  La sivyo anagalia Kwenye Phymyadmin kama database uliyocreate ipo na table zake zote zipo sawa na hazijawa corrupted au ziko kwenye suspect mode.

  google jina la script unaytumia likiambatana na hiyo error message.

  Kama script unayotumia ina forum jarijibu kucheki hukopia


  BTN

  Nakushauri jaribu kufanya sutafiti ya kutafuta free hsoting wanaotoa facility nyingi zaidi. binafisi natumia x10hosting.com

  Au jaribu ku google na kusoma review za wataalam kuhusu "best free hosting 2011" kama hiii hapa
   
 5. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  natumia lavalair/wapdesire script.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  sasa details hizi unazotakiwa uingiza kwenye config zipo sawa na sahihi? Nadhani humo kua detail hujaweka ndio maana . File hili la config.php limo ndani ya file la wap
  PHP:
  <?php 
   $dbname 
  "";
  $dbhost "";
  $dbuser "";
  $dbpass "";
  $max_buds=100;
  $topic_af 20;
  $post_af 15;
  $onver true;
  ?>
  KWa nini hiyo error inatokea ?
  Angalia file la Index php lililomo ndani ya folder la wap
  PHP:
  <?php
  include("../blocked.php");
  include(
  "config.php");
  include(
  "core.php");
  //session_start();
  header("Content-type: text/vnd.wap.wml");
  header("Cache-Control: no-store, no-cache, must-revalidate");
  echo 
  "<?xml version=\"1.0\"?>";
  echo 
  "<!DOCTYPE wml PUBLIC \"-//WAPFORUM//DTD WML 1.1//EN\""" \"http://www.wapforum.org/DTD/wml_1.1.xml\">";
  ?>
  <wml>
  <?php
  $bcon 
  connectdb();
  if (!
  $bcon)
  {
      echo 
  "<card id=\"main\" title=\"(ERROR!)\">";
      echo 
  "<p align=\"center\">";
      echo 
  "<img src=\"../images/exit.gif\" alt=\"!\"/><br/>";
      echo 
  "<b>Error! Cannot Connect To Database...</b><br/><br/>";
      echo 
  "This error happens usually when backing up the database, please be patient...";
      echo 
  "</p>";
      echo 
  "</card>";
      echo 
  "</wml>";
      exit();
  Line ya 13 inatafuta ku-connect na db utumia fucntion hii $bcon = connectdb(); Na hii function detail zke zipo kwenye file config.php nililotaj hapo juu > sababu inashindwa kupat detail sahihi za config.php ndio maana unapata ujue huo amabo upo kwenye line 19 na 20

  Index.php

  PHP:
  ........................................
  19   echo "<b>Error! Cannot Connect To Database...</b><br/><br/>";
  20   echo "This error happens usually when backing up the database, please be patient...";
  ..........

  So make sure database name hostname na password ziko sahihi. Sababu hiyo eero maana yke ni kuwa inashinwa u connec na database na sabbau kubwa ya kushindwa ni detail ulizoweka.

  Hope umeelewa mkuu
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  THANK YOU SOO MUCH! I will give feedback when I get to PC.
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Another thing: kwanini inablock opera mini and other java apps? How do I unblock?
   
 9. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  DATABASE CREDENTIALS zote zipo sahihi but still error!!
   
 10. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Just what i was afraid of. No tables created.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  givenality big up kwa kuna tatizo dats y kwenye comment number 4 nilikushauri hivi
  But hiyo script unayotumia

  ina support ndogo sana . Online forum nyingi zinaoenekana ni za mwaka 2007. So am sure there must be an alternative best free WAP solution inayotumiwa watu kwa sasa na yenye support kubwa
  intallation ya database has to be done Manually mafaili ya ku create tables yako kweye folder la sql
  inaonyesha ina some bugs so itabidi utumie muda sana kwani utakutana na vitatizo vingi tu. I've just tried home page ikaja vizuri but kuna bug nyingine. kibao.

  BTN
  Vipi ile script nyingine uliyokuwa uatumia? Au ndio hiii.
   
 12. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ile ya kwanza ni kama hii isipokuwa it had way more errors. Najaribu kutafuta nyingine but they say kwamba hii ndio THE BEST wap community script on the net na wengi wameimodify tu. I just have to make it through.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
Loading...