Marsquakes?

Marsquakes?

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Wadau mimi kuna kitu kinanisumbua. Hivi kama 'earthquake' ikitokea kwenye sayari ya mars, wataiita 'marsquake'? Halafu vilevile, what happens when an 'irresistible force' hits an 'immovable object'?

Nawasilisha.
 
wabongo tunaita tetemeko la ardhi hata kama huko mars kuna ardhi basi tutaita tu tetemeko la ardhi bwana lugha yetu sanifu hiyo ya wengine inautata saaana hata kwa majuma ya masiku. Hebu fikiria hiii siku tunaita jumamosi wao wanaita sartunday hiyo imekaaje. Alafu ile siku siye tunaita jumapili wao wanaita sun-day haya bwana wacha nijiandaye kwenda kuwoship sun/nday
 
'irresistible force' hits an 'immovable object'?

HAPA MKUU INATEGEMEA na mass ya hiyo force ni vizuri ukatoa mfano.. hii theory ni sawa na ile ya kupiga ngumi ukuta.....mambo ya equall force

mfano bunduki kumpiga tembo na jiwe la mkono kumpiga temb0 ni force mbili tofauti ila impact itategemea na hiyo force iliyotumika
 
sharobalo uko wapi?umesoma nini hasa?dont mind!nataka kujua tu!
 
Back
Top Bottom